Daladala za Temeke asilimia kubwa (90%) ni Nissan Civilian. Je ni kwa nini?

Daladala za Temeke asilimia kubwa (90%) ni Nissan Civilian. Je ni kwa nini?

Umeaanza kuweka assumptions zako baada ya kunywa balimi. Jibu swali. Kama hujui kaa kimya. Anyalia comments za wanaume wenzio.
Kuna mtu kasema ni gari ngumu at cheap price. Hii possible answers. Unatumia efforts kubwa kuandika madudu na itel yako
Kwa hiyo ww unatumia apple sio watanzania bwana ndio maana tukaambiwa na trump nyie ni kama mashimo ya choo badala uwaze ufanye nn ufanikiwe zaidi hapo ulipo uende hatua unayotaka unawaza magar harafu unaniaminisha wanaume wa dar hovyo sana nilikuwa natetea lakini mmezidi maana sio kwa kuwaza huko
 
Civilian inapendeza zaidi temeke sababu ina viti 24 na space kubwa ya kusimamisha watu na mizigo. Wakina Mama wajasiliamali wanazipenda sana zile na Temeke ni eneo kubwa la biashara. Ndio maana Makumbusho -Posta ni Coastal tu, hakuna wabeba samaki kule [emoji16][emoji16]
 
Yess zipo sana Goms, Mbagala, Tegeta na Mbezi.
Simply zinaoperate sana kweny Nods za Dar
route ya mwenge posta ilikua na coaster kali tena zilikua na fridge kabisa ukitaka soda unanunua tu

wamiliki wa daladala nafikiri hua wanaangalia na hadhi ya eneo,kwani nini mbagala iwe DCM ndio nyingi
 
duh! maisha kweli yanawachnganya wa2 ckuiz munahesabu magari na ruti zke! vyuma vmekaza angalia ucje ukawahesabia n trip
 
Hivi hizi Nisaan Mafundi wengi wa bongo hawazijui sana Kama Toyota wapi kuna fundi mzuri wa Nissan?
Nilikuwa nayo ilinisumbua sana hadi nikaitelekeza na kuiuza kama scraps Kuna fundi mmoja pale kinondoni A ila ni teja anasifiwa sana ila sikuwahi Pata suruhishi zuri... nilichogundua Nissan spear zake ni ghali sana but ni original tu issue zikifungwa kizembe utalia bus linageuka jini mnyonyaji
 
Chezeya Wapemba! Kama Wakinga vile. Hope 75% ya hiyo ruti ni Pembaz men. Acha wapige mzigo na mtaji mdogo
 
Wazoefu wa Civilians hebu mje mtupe uzoefu wa civilian, vipi tofauti yake na coaster kwenye biashara ya daladala ikoje..
 
Kwa hiyo ww unatumia apple sio watanzania bwana ndio maana tukaambiwa na trump nyie ni kama mashimo ya choo badala uwaze ufanye nn ufanikiwe zaidi hapo ulipo uende hatua unayotaka unawaza magar harafu unaniaminisha wanaume wa dar hovyo sana nilikuwa natetea lakini mmezidi maana sio kwa kuwaza huko
Wewe umefanikiwa nini ulipocomment hapa.
Shenzzzy. Ona wenzio wanacoment kuwa civilian ina 24 sitters na una space ya kutosha kusimama. Soma coments za watu jifunze Nyauba ww. Sio unaropoka tu
Zagamba weee
 
Achana na muhuni huyo asiejiongeza, kwani lazma acoment?
 
Nissan Civilian ni gari imara na za being nafuu.
Spare parts na maintenance yake kwa ujumpa including service ni ghali kuliko Toyota Coaster mkuu.Nilishawahi kuwa nayo nikaona hailipi nikaiuza.Hata hivyo nikiri kwamba sijui hali ya sasa, maana mimi niliingiza 1996 kutoka Japan.

Ni kweli ni gari imara,lakini nadhani life span ya gari na kutokuharibika haribika kama ndicho unacho ongelea, kunategemea zaidi care and maintenance.
 
Clutch plate ya Nissan civilian last time I checked ilikuwa 1.1million wakati ya Isuzu journey ilikuwa 140,000 hadi 170,000 ya Korea ilikuwa kama 70 elfu na ya kujaza kama 40elfu nadhani nissan fake spear Zake ukiweka and then ukaitest inaharibika faster. Nissan ni pasua kichwa kiufupi. Jini mahaba
 
Kwa hiyo ww unatumia apple sio watanzania bwana ndio maana tukaambiwa na trump nyie ni kama mashimo ya choo badala uwaze ufanye nn ufanikiwe zaidi hapo ulipo uende hatua unayotaka unawaza magar harafu unaniaminisha wanaume wa dar hovyo sana nilikuwa natetea lakini mmezidi maana sio kwa kuwaza huko
Wewe umewaza nini ukafanikiwa kama huyo Trump anayekufurahisha mkikutana wawili.
 
gharama ya gari na ubora ktk manunuzi husababisha liuzwe sana.
Uhitaji wa wateja wengi huchangia lakini pia mazingira nayo mfano milima, tambarare, aina ya barabara kama ni vumbi au lami.
Sababu ni nyingi siyo kwa kuwa una hela ndo unazoa zoa tu.
Kama mke tu unachagua itakuwa gari.
 
Civilian inapendeza zaidi temeke sababu ina viti 24 na space kubwa ya kusimamisha watu na mizigo. Wakina Mama wajasiliamali wanazipenda sana zile na Temeke ni eneo kubwa la biashara. Ndio maana Makumbusho -Posta ni Coastal tu, hakuna wabeba samaki kule [emoji16][emoji16]

nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom