Rushwa ya daladala ni Tsh. 2,000 kwa kutwa wakati rushwa ya gari binafsi ni Tsh 5,000 hadi 10,000 kwa gari. Trafiki unafikiri atapendelea kufuatilia magari yapi?
Hii nchi ina uozo kila mahali. Ukiwa unafanya shughuli zako mjini uwe una usafiri binafsi au unatumia daladala nakushauri uwe na fedha ya akiba pembeni.
Wenye nchi wanatembelea V8. Hawawezi kuona hizo kero kamwe.