Daladala zinazokatisha Ruti, zikikamatwa kuanza kufungwa kifaa cha VTS ili kufuatiliwa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema magari ya usafiri wa Umma yatakayokatisha au kubadili “ruti” kinyume na Leseni zao, yatachukuliwa hatua na kufungwa kwa kifaa cha VTS ambacho kinafuatilia Mwenendo wa Magari.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Udhibiti Usafiri wa Barabara kutoka (LATRA), DCP Johansen Kahatano, ambaye ameongeza kuwa wanafanya hivyo ili kukabiliana na ukatishaji wa ruti ambao unafanywa hasa na Daladala.

Mfumo wa VTS unawezesha chombo husika kufuatiliwa kuhusu mwenendo wake, ikiwemo suala la mwendokasi kuonekana katika mfumo.

VIDEO: TORCH MEDIA
 
nyingi zinakata ruti au tayari wana mzabuni wa kuja kufunga hizo vts?
 
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema magari ya usafiri wa Umma yatakayokatisha au kubadili “ruti” kinyume na Leseni zao, yatachukuliwa hatua na kufungwa kwa kifaa cha VTS ambacho kinafuatilia Mwenendo wa Magari.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Udhibiti Usafiri wa Barabara kutoka (LATRA), DCP Johansen Kahatano, ambaye ameongeza kuwa wanafanya hivyo ili kukabiliana na ukatishaji wa ruti ambao unafanywa hasa na Daladala.

Mfumo wa VTS unawezesha chombo husika kufuatiliwa kuhusu mwenendo wake, ikiwemo suala la mwendokasi kuonekana katika mfumo.

VIDEO: TORCH MEDIA
Tumezidi upole!;
Hilo tatizo ni la abiria, Abiria mpo.30 Dereva na conda wapo wawili!; Mshughulikieni Ili wengine wakome kukatisha ruti....
 
Hicho chombo ni bei gani na hizo gharama anatoa nani ? Na huo ndio mwarobaini au kinaweza kuchakachuliwa ?

Hapo ndio faida ya kuwa na Usafiri wa UMMA hao wengine ukiona hivyo ni kwamba hao watoa huduma nao wanabangaiza to make ends meet
 
Tumezidi upole!;
Hilo tatizo ni la abiria, Abiria mpo.30 Dereva na conda wapo wawili!; Mshughulikieni Ili wengine wakome kukatisha ruti....
Huo ukali ungepeleka kwanza kwa Serikali ambayo tunatoa Kodi kila kukicha ila huduma kwa Jamii zinazidi kurudi reverse

Ukiona Serkali dhaifu Ujue Wewe na Mimi ni dhaifu....
 
Nope mimi huku nafanya kazi yangu to the maximum, mimi nalima mahindi na maharage, nawalisha nyie huko mjini wakati hata pesa mnayonipa ni duni..., ninawalipa Kodi / Ruzuku vyama vyote vya siasa na niliowachagua ili wafanye yale ambayo mimi nipo busy kuyafanya...

Na bado siachi kuwakumbusha kila nikiweka jembe chini na kukaa chini ya mwembe kuperuzi kinachojiri; Hence mimi sio dhaifu...

Kama hujui huo ndio udhaifuu wenyewe
 
Kama hujui huo ndio udhaifuu wenyewe
Udhaifu kwa kufanya kazi yangu zaidi ya kiwango ninachotakiwa kukifanya ?!!!; Naona unaanza kuleta ramli za wanasiasa

Back
Top Bottom