Daladala

Daladala

KAKA NASOKI

Senior Member
Joined
May 25, 2016
Posts
191
Reaction score
212
1. Daladala nyingi za Dar, taa za kulia huwa ni full light tu.
2. Makonda wa daladala karibu route zote isipokuwa Posta-Mwenge ni wachafu sana
3. Madereva wengi hutumia pombe kali, hasa K-Vant
4. Huzuia usingizi kwa kunywa energisers kama Azam Energy na Mo energy
5. Makondakta wakiwa na pesa ni kilevi full time
6. Gari ikienda gereji hata siku moja tu, tayari ni ombaomba
 
Back
Top Bottom