Daladala

Daladala

Wenyewe wanasema ni biashara pasta kichwa lakini wanaongeza magazine kila uchwao.
 
View attachment 3082596
Habari zenu wana jamvi,
Hii biashara ya daladala hapa mjini(Dar) imekaaje.
Waungwana naombeni mshee mawazo yenu haswa mnaojihusish nayo.

Faida na hasara
Pia per day tajiri anapewa ngapi?
Daladala kama ikiwa mpya boss hesabu yake kwa siku tsh100,000 mpaka tsh 110,000 kwa hizi nissan civilian, rosa nk ila sio Tata, au eicher

Ila ikiwa ni ya muda kidogo mfano umenunua kwa mtu basi hesabu yake ni 90k, kwa siku.
 
View attachment 3082596
Habari zenu wana jamvi,
Hii biashara ya daladala hapa mjini(Dar) imekaaje.
Waungwana naombeni mshee mawazo yenu haswa mnaojihusish nayo.

Faida na hasara
Pia per day tajiri anapewa ngapi?
Daladala ni biashara ya uhakika sana haina stress sana kuhusu wateja na kama ukiwa na yafuatayo utafanikiwa.

1.Huitegemei kwa asilimia kubwa kuendesha maisha yako.
2.Pesa yake haitaki itiwe mikono.
3.Fuatili chombo chako kwa 100%.
4.Hudumia gari yako inavyotakiwa service kwa wakati nk.
5.Upate dereva anayejitambua sio gegedu.
6.uwe mvumilivu maana faida huanza kuonekana miaka 2 mbele.
7.Usicheke na nyani uwe bandidu.

NB:Usinunue gari kama costa halafu ukapeleka shamba ni ngumu sana kurudisha faida kwa muda mfupi maana riski ni kubwa ziaidi. Tumewahi miliki chombo ila tukakipeleka shamba tulijuta sana maana risk ilikua kubwa zaid.

Ushauri wangu kama pesa ndogo Nunua zile Civillian Fupi huwa zinavumilia shida kwa daladala maana bodi yake haibebi mzigo mkubwa na haikatiki bodi.
 
Nataka ikae Dar kwa ajiti ya kubeba abiria hapa hapa twn..
 
Back
Top Bottom