Neno daladala kama nauli ya usafiri wa mabasi ya mjini lilianza kutumika mwaka gani? Chanzo chake ni nini?
Neno gani llitumika kabla ya hilo?
yalivokuwa yanaanza miaka ya sabini nauli ilikuwa dala yaani sh 5 kwa wakati ule. ndo yakaitwa daladala
Labda aje mwanzilishi... lakini kufahamu imeanzishwa Mwaka gani.. dah! hata lingekuwa swali la kwenye mtihani... ningeliacha