Dalai Lama aomba msamaha baada ya video akimuomba mvulana amnyonye ulimi kusambaa

Dalai Lama aomba msamaha baada ya video akimuomba mvulana amnyonye ulimi kusambaa

Hiyo video haijavuja bahati mbaya, wameiachia makusudi ili kuhamasisha mambo yao , Only GOD can save us, wapo serious sn hawa watu
 
Watanzania wako obsessed na habari za ushoga mpaka kuogopa vivuli vya makalio yao.
Tuko too negative..
Dalai Lama sio mshenzi, ni kumkosea heshima.
Ukiangalia video alikua akifanya mzaha na mtoto. LGBTQ ni wapuuzi na sisi tunaingizwa kichwakichwa.
 
Tunaye Kigezo chetu chema![emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1427][emoji1427]
Surah Ahzab Ayat 21 (33:21)

لَّقَدۡ كَانَ لَكُمۡ فِي رَسُولِ ٱللَّهِ أُسۡوَةٌ حَسَنَةٞ لِّمَن كَانَ يَرۡجُواْ ٱللَّهَ وَٱلۡيَوۡمَ ٱلۡأٓخِرَ وَذَكَرَ ٱللَّهَ كَثِيرٗا
Laqad kaana lakum fee Rasoolil laahi uswatun hasanatul liman kaana yarjul laaha wal yawmal Aakhira wa zakaral laaha kaseeraa

Indeed in the Messenger of Allah (Muhammad SAW) you have a good example to follow for him who hopes in (the Meeting with) Allah and the Last Day and remembers Allah much.
[emoji1427][emoji1427]
Musnad Ahmad 16245—[Mua’wiya said]: I saw the prophet sucking on the tongue or the lips of Al-Hassan son of Ali, may the prayers of Allah be upon him. For no tongue or lips that the prophet sucked on will be tormented (by hell fire).
 
Mwamed ndio alitoa boko kabisa, nadhani ni tamaduni zao tu, isingeweza kuwa hadharani vile.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Ukome Kama ulivyokoma kunyonya ziwa.
UISLAM NA MUHAMMAD(S.A.W) UMEKATAZA HIVYO VITENDO NA HUKUMU YAKE NI KIFO JE UNALIJUA HILO???
USIROPOKE KM UMEPAKATIWA
 
Back
Top Bottom