Dalali wa kuuza nyumba Dar anahitajika

Dalali wa kuuza nyumba Dar anahitajika

Aisee Kuna nyumba Iko dar imegoma kuuzika kama kama mwaka saa hii😀
Sasa kama Kuna dalali hodari anicheki Whatsapp au normal namba naacha hapo chini, nitakutumia picha na kila taarifa bei tutajadiliana ilimradi pauzike
0622905303
Pakojolee siku saba. Alafu siku ya nane kunya kabisa.
Ikifika siku ya 13 mwagia majivu ya udi sandal huku ukinuia hivi "nyie wachawi njooni muchukue mizigo yenu" mara tatu.
Alafu rudi uitangaze tena
 
Tatizo lipo kwa madalali. Wengi wao wanataka kutajirikia kwenye mali ya mwingine. Unakuta mwenyewe mali anataka Mil. 20 dalali anaenda kutangaza milioni 60 ambayo haina uhalisia. Na kama vile haitoshi anaenda kuroga kabisa nyumba isiuzike mpaka auze yeye.
 
Kumbe haya nayo yapo duuh
 
Back
Top Bottom