Dalali wa kuuza nyumba Dar anahitajika

Dalali wa kuuza nyumba Dar anahitajika

Kumbe haya nayo yapo duuh
Nimekuchek

Bei ikiwa affordable kwa mnunuzi wewe utampa dalali percent yake .

Nyumba inaweza kuuza haraka au kuchelewa kidogo Kutokana na Sababu mbali mbali.

Kama kutopata dalali mzuri
Bei kuwa kubwa
N.k
 
Nimekuchek

Bei ikiwa affordable kwa mnunuzi wewe utampa dalali percent yake .

Nyumba inaweza kuuza haraka au kuchelewa kidogo Kutokana na Sababu mbali mbali.

Kama kutopata dalali mzuri
Bei kuwa kubwa
N.k
Poa
 
Unakijua jina mkuu naweza kukia-Attach hapa au katika Uzi wa vitabu na nikakutag
Sikijui, sina, naomba untaftie kinachohusu nidhamu ya pesa.....
Basi twende bookworms hapa dada/ kaka mwenye nyumba asije mind
 
Back
Top Bottom