Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Jana nilikuwa na jamaa mmoja anajiita Dalali wa mapenzi, na hata ndio maongezi yake
Dalali: money penny bwana inabidi upewe maua yako??
Money penny: ya kwenda wap me natafuta hela
Dalali: unajua we mtoto Una akili ila wachawi wengi
Money Penny: na Mungu anakuwa wap labda??
Dalali: money penny iko namna ila kuna ishu nataka nikwambie
Money Penny: kama ya hela nakuskiza kama mambo yako ya mapenzi pita uende
Dalali: tulia bwana Mapenzi ndio Kila kitu sahivi, hata Mungu kasema tupendane
Money Penny: kuhusu Mungu sijakataa
Dalali: sasa penny mama, skuhizi kuna ishu inatafutwa Sana maana dunia imeharibika
Wanatafutwa wanawake mabikra, Miaka kuanzia 28 - 48
Kama unamjua ndugu, jamaa, rafiki mwenye nayo hajawahi kuguswa hapa Bongo niconnect nae
Money Penny: ukawafanyaje sasa hao wadada?! Au umeingia kwenye free mason mnataka kafara damu mbichi??
Dalali: kuna mchongo huko umeshuka, dau Lao Nono, akigundulika na ndoa Juu ya kidini, na maisha mazuri Sana
Money penny: na wewe Dalali unalipwaje??
Dalali: we Acha tu, nikilipwa nahama nchi, nahama Dubai, hio hela inayoingia sio ya kitoto
Money Penny: ushindwe na ulegee, niache me naenda evening Glory, usinichoshe na maokoto yako
Haya jamaan Dalali ndio huyu anamtafuta mabikra, SA sijui wapo??🚶🚶