House4Rent Dalali wa vyumba, Nyumba Viwanja Dar es Salaam

Swali ukiliona utalijua?

Unajua kusoma kwa ufahamu?
Sijaweka tangazo kwalengo la kuja kubishana.

Serious buyer contact me: 0716442950 0686648630
 
Chumba Sebule na Choo ndani.

Mahali: Mbezibeach Tangibovu. Dakika tatu kutoka barabara ya lami.

Kodi ya Mwezi: Tshs 200,000
Umeme luku yake, maji dawasa/bomba, Fensi Geti, Parking ipo.

Piga: 0716442950 // 0686648630
 
Chumba Sebule Choo ndani na Jiko

Mahali: Mbezibeach Shule. Dakika tano kutoka barabara ya lami.

Kodi ya Mwezi: Tshs 250,000
Umeme luku yake, maji dawasa/bomba, Fensi Geti, Parking ipo.
Nyumba Mpya ndiyo inamaliziwa.

Piga: 0716442950 // 0686648630

 
Chumba Sebule na Choo ndani.

Mahali: Mbezibeach Tangibovu. Dakika tatu kutoka barabara ya lami.

Kodi ya Mwezi: Tshs 150,000 ( Maelewano Yapo )
Umeme luku yake, maji dawasa/bomba, Fensi Geti, Parking ipo.

Piga: 0716442950 // 0686648630
Follow me on
URL unfurl="true"]https://www.facebook.com/semindu.msumi[/URL]


 
Kiwanja sehemu yoyote kutoka kimara mpaka kibamba. Ukubwa 20×20, kisiwe zaidi ya 2km kutoka morogoro road. Bei 3M. Kama unacho nichek.
 
nyumba ziko wapi? Au haya mabanda ndiyo unayaita nyumba.
 
Chumba na sebule kwa bei ya 80k naweza kupata??

Maeneo ya segerea
 
Chumba Kimoja cha Kulala.

Mahali: Mbezibeach Tangibovu. Nyumba ya pili kutoka barabara ya lami.

Kodi ya Mwezi: Tshs 100,000
Umeme luku wawili, maji dawasa/bomba, Fensi Geti, Parking ipo, garden.

Piga: 0716442950 // 0686648630
 
Chumba Kimoja cha Kulala Choo ndani ( Masta )

Mahali: Mwananyamala Komakoma.Nyumba ya pili kutoka barabara ya lami.

Kodi ya Mwezi: Tshs 80,000
Maji dawasa/bomba, Fensi Geti, Parking ipo.

Piga: 0716442950 // 0686648630
 
Chumba na Sebule

Mahali: Kimara.

Kodi ya Mwezi: Tshs 100,000
Umeme luku wawili, maji dawasa/bomba, Fensi Geti, Parking ipo.

Piga: 0716442950 // 0686648630
 
Chumba masta kwa Sinza kinaendaje, kiwe alluminium na Gypsum za kutosha usisahu ulinzi kama wote
 
Chumba Kimoja cha Kulala Choo ndani ( Masta ) na Sebule pamoja na choo cha nje.



Mahali: Ubungo msewe



Kodi ya Mwezi: Tshs 160,000

Maji dawasa/bomba, Fensi Geti, Parking ipo.



Piga: 0716442950 // 0686648630





 
Chumba Kimoja cha Kulala Choo ndani ( Masta ) na Sebule pamoja na choo cha nje.
Mahali: Kimara Temboni
Kodi ya Mwezi: Tshs 130,000
Maji dawasa/bomba, Fensi Geti, Parking ipo.

Piga: 0716442950 // 0686648630







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…