Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwani wapi nimetaja Marekani?Kwani Tanzania toka lini imeanza kuwa kama marekani?
Wewe uza hilo gofu, usitake nikuharibie biashara yako hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wapi nimetaja Marekani?Kwani Tanzania toka lini imeanza kuwa kama marekani?
Swali ukiliona utalijua?Uliza swali?
Sijaweka tangazo kwalengo la kuja kubishana.Swali ukiliona utalijua?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
nyumba ziko wapi? Au haya mabanda ndiyo unayaita nyumba.Nyumba Kwasasa inatumika kwa biashara ya kupangisha.
Ina: Chumba Sebule choo ndani, Ziko 3.
Chumba Sebule choo nje, Ziko 2
Chumba Singo choo, Iko 1
Ukubwa wa Kiwanja: 600 Sqm
Bei: Tshs 35 Milioni
Mahali: Mbezibeach Tangibovu. Umbali wa kilomita 1 Kutoka kituoni tangibovu ( bagamoyo road), Upande wa Kushoto kama unatokea Mwenge.
Maelezo Zaidi: 0716442950 , 0686648630.
Kidokezo: Ukinunua hii nyumba, na ukihamua kuendelea kufanya biashara ya kupangisha. Ndani ya miaka 3 pesa yako inarudi, unaanza kuhesabu faida.
Na kama utahamu kuiweka kisasa zaidi, faida utaipata zaidi
View attachment 1822757
Sawa.Kiwanja sehemu yoyote kutoka kimara mpaka kibamba. Ukubwa 20×20, kisiwe zaidi ya 2km kutoka morogoro road. Bei 3M. Kama unacho nichek.
Chumba Sebule Choo ndani.Chumba na sebule kwa bei ya 80k naweza kupata??
Maeneo ya segerea
Laki mbili tu Kwa MweziChumba masta kwa Sinza kinaendaje, kiwe alluminium na Gypsum za kutosha usisahu ulinzi kama wote
Picha za ndaniChumba Kimoja cha Kulala Choo ndani ( Masta ) na Sebule pamoja na choo cha nje.
Mahali: Ubungo msewe
Kodi ya Mwezi: Tshs 160,000
Maji dawasa/bomba, Fensi Geti, Parking ipo.
Piga: 0716442950 // 0686648630
View attachment 1827644
View attachment 1827645
View attachment 1827647