House4Rent Dalali wa vyumba, Nyumba Viwanja Dar es Salaam

House4Rent Dalali wa vyumba, Nyumba Viwanja Dar es Salaam

Chumba Sebule Choo ndani na Jiko.
Eneo: Mbezibeach, Tangibovu.
Kodi ya Mwezi: Tshs 200,000
Maji ya dawasa, Fensi, Parking, Luku yake, Karibu na barabara.

Maelezo Zaidi: 0716442950 au 0686648630
IMG_20210627_165213.jpg
IMG_20210517_113635.jpg
IMG_20210517_124314.jpg
IMG_20210517_113619.jpg
 
Chumba Sebule Choo ndani na Jiko.
Eneo: Kinondoni Kwapinda
Kodi ya Mwezi: Tshs 300,000
Maji ya dawasa, Fensi, Parking, Luku yake.

Maelezo Zaidi: 0716442950 au 0686648630
20210627162207_9.jpg
20210627162207_1.jpg
20210627162207_6.jpg
20210627162207_5.jpg
 
Chumba Masta
Eneo: Mbezibeach Shule.
Kodi ya Mwezi: Tshs 100,000
Maji ya dawasa, Fensi, Parking, Luku Wawili. Karibu na barabara ya lami.

Maelezo Zaidi: 0716442950 au 0686648630
IMG_20210626_134846.jpg
20210612103003_5.jpg
IMG_20210626_134023.jpg
 
Vyumba Viwili vya Kulala ( Masta1 ), Sebule, Jiko na Choo cha familia.
Eneo: Sinza A
Kodi ya Mwezi: Tshs 450,000
Kwenye fensi peke yake, Maji dawasa 24hrs.

Maelezo Zaidi: 0716442950 au 0686648630
20210628121255_0.jpg
20210628121255_2.jpg
20210628121255_1.jpg
 
Kiwanja Kinauzwa
Eneo- Goba Mpakani
Ukubwa wa Kiwanja- 30 × 15
Bei- Tshs 5.5M

Maelezo Zaidi- 0716442950 au 0686648630
Biashara haina longolongo, Mwenye kiwanja anaishi hapohapo.

IMG_20210511_125333.jpg
 
Hapa Kuna:

1.Chumba choo ndani ( Masta ) na Jiko la wazi.
Kodi ya Mwezi: Laki 1 na Elfu 20
Malipo ya Miezi 6
Eneo - Mbezibeach

2. Chumba choo ndani ( Masta ), Sebule na Jiko la wazi.
Kodi ya Mwezi: Laki 2
Malipo ya Miezi 6
Eneo - Mbezibeach

Umeme Luku wawili, Maji dawasa, Fensi geti
Tuwasiliane - 0716442950 au 0686648630
Umeme Luku wawili, Maji dawasa, Fensi geti
Tuwasiliane - 0716442950 au 0686648630
Polish_20210710_152220596.jpg
IMG-20210706-WA0019.jpg
IMG-20210706-WA0024.jpg
IMG-20210706-WA0009.jpg
IMG-20210706-WA0013.jpg
IMG-20210706-WA0021.jpg


Nyumba Mpya
 
Chumba choo ndani ( Masta )
Kodi ya Mwezi: Laki 1.5
Malipo ya Miezi 6
Eneo - Mbezibeach

Umeme Luku yake, Maji dawasa, Fensi geti
Tuwasiliane - 0716442950 au 0686648630
FB_IMG_1622460779098.jpg
IMG_20210621_083459_681.jpg
IMG_20210630_174847_317.jpg
 
Chumba choo ndani ( Masta ) Sebule na Jiko
Kodi ya Mwezi: Laki 2.5
Malipo ya Miezi 6
Eneo - Mbezibeach

Umeme Luku yake, Maji dawasa, Fensi geti
Tuwasiliane - 0716442950 au 0686648630
IMG_20210627_212035_452.jpg
IMG_20210609_142858_802.jpg
IMG_20210413_200555.jpg
 
Maeneo ya Temeke bei zipoje kwa chumba chenye choo ndani?
 
Me natafuta chumba chenye choo ndani maeneo ya kinondoni B, Magomeni, Manzese (usalama)
 
Back
Top Bottom