Dalili 10 kwamba una hisia sana

Kwani binadamu tunatakiwa kuwaje? Maana mengi uliyosema ni maisha ya kawaida ya binadamu. Usipokua na nusu ya hayo basi unaelekea kwenye unyama. Na pia uliyoyataja inategemea una deal na nani na kwenye mazingira gani....
Logic
 
Daaaah!Mkuu naona umeamua kunichambua kabisa nilivyo!
 
Huyo ni mimi nachukia tabia ya kujihisi ni mwenye hatia kila mara ninapo mfanyia mtu makosa kwa bahati mbaya pia ninapofanya makosa mbelenza watu bila kukusidia.πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
 
Huwa najali sana kupita kiasi hadi maumivu nayasikia tumboni na utosini. Ukiwa mtu wa hivyo dunia haina huruma nasisi kabisa.
Huyu ni mimi...
Na kudhani kuwa kila mtu yupo kama wewe...Ukishtuka ndiyo unakumbuka kumbe mpo tofauti....

Mimi hii ya kujali...Nikiwa 1st chuo Rafiki yangu wa karibu sana hadi sasa...Ndiyo aliniambia...Maki ila wewe unajali sana....Kitu ambacho nilidhani Binadamu wote tuko hivyo..
 
Nakupata. Tusaidie kwa kiasi mkuu.
 
Dah bro usingeandika hivi vitu inaumiza kujiona una hatia Kila hatua 1-10
 
Nakupata. Tusaidie kwa kiasi mkuu.
Kabisa mkuu....
Ila kuna wakati unashindwa kujizuia..

Mfano naweza kusema niwe bandidu kweli kweli kwenye jambo fulani...ili basi tu nisioneshe kujali sana... ila baada ya hapo roho inaweza kuumia pasipo kuelezeka...Naanza kujiambia kwanini nimefanya hivyo sasa..
 
Zote nzuri ila 3hadi 6 hio hamna ilikuwa zamani enzi hizo nikiwa kashenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…