Dalili 10 kwamba una hisia sana

Mimi kabisa!Nimesimamia hatma za vijana wangu weng na kuzifikia laikini Huwa najiona alone na nimebaki pale pale!!!

Naisubiri hii iwe kwakweli kama Mungu alivyofunua!
 
na hawa hawa ndio wapo upande wa I LOVE YOU sio I LOVE YOU TOO πŸ˜„
 
Doh.! Sijaingia kwenye kigezo hata kimoja hapo, hii ipo vipi mtaalamu?
 
Kwani binadamu tunatakiwa kuwaje? Maana mengi uliyosema ni maisha ya kawaida ya binadamu. Usipokua na nusu ya hayo basi unaelekea kwenye unyama. Na pia uliyoyataja inategemea una deal na nani na kwenye mazingira gani....
Alizotaja jamaa ndio sifa za binadamu sema kuna ile ya kuchagua uongozwe na hisia au akili kwaiyo hapa jamaa anamaanisha wale wanaoongozwa na hisia
 
Nikawaida kwa mtu mwenye ubinadamu ndani yake kuwa hivo japo mwisho wao unakuwaga mbaya sana hadi kupoteza kabisa huo ubinadamu
 

Hakuna mwanadamu aliyezaliwa hana hizi factors lakini kadri siku zinavyozidi kusonga mambo hubadilika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…