Dalili 10 kwamba una hisia sana

Nilikuwa aina hii ya mtu zamani.
Siku hizi
  1. NINASEMA HAPANA
  2. NINAACHA WANAOONDOKA NA WAONDOKE
  3. SIJIHUKUMU TENA HATA MAHALI NIMEKOSEA, NINAJISAMEHE.
  4. NINAGIVE WHERE IM BEING GIVEN
  5. NINA MIPAKA YA HISIA
  6. SIUMIZWI TENA NA NISIYOWEZA KUYABADILI
  7. NINAKEEP NINAOWEZA KUWAJALI
  8. NINAONDOKA KWENYE MAHUSIANO YASIYONIPA AMANI
  9. NINASTICK TO WATU NINAOWAFAHAMU TAYARI, NDUGU NINAOVIBE NAO TU, MARAFIKI WACHACHE WALIO SOLID!
  10. NINASEMA NINAPOKUWA SIPO SAWA NA NINAMAANISHA NINACHOKISEMA
 
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…