Dalili 5 za Mtoto anayechukuliwa na Wachawi Usiku

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
May be an image of 1 person
DALILI 5 ZA MTOTO ANAYE CHUKULIWA NA WACHAWI USIKU.

1 ANAHUSISHA MATUKIO YA USIKU NA MCHANA

Utasikia akisema jana tulikwenda shamba usiku na watu wengi wamevaa nguo nyeusi. Alikuja akaniamsha tukaenda tukaruka kama ndege. Ikiwa story hizi anazieleza mara kwa mara usidharau ukasema ndoto tu hapana kipo kitu.

2 ANAKUWA NDONDO KILA SIKU
Fahamu yeke na uchangamfu wake unapungua kila siku. Usoni utaona anabadilika anakuwa kama mtu ambae yupo yupo tu lakini kama hayupo vile.

3 ANA MATUKIO YA KUSHANGAZA
Anaweza kufanya vitu paka mukashangaa mfano wa vitu vya kichawi chawi na maneno ya kutisha wenzie kuwa mutaona usiku nitakachowafanya. Kama mzazi usipuuze hili mfatilie.

4 KUNYOLEWA USINGIZINI NA CHALE
Utakuta alilala vyema lakini asubuhi mara ukute kanyolewa au kachanjwa chanjwa dalili hizi sio salama kuwa makini na mtoto.

5 HOFU KIZA KIKIINGIA
Usiku ukiingia tu ana hofu sana sehemu ambayo hata hakuogopeshi. Au anaweza kukulalamikia kuwa kuna watu anawaona ikifika usiku wanamtisha. Usidharau hilo chunguza na uchukue hatua.
 
Dah
 
Wazazi mnawafindisha uchawi watoto wenu Kwa kuwaruhusu waangalie cartoons na movies mbalimbali.

Nowadays, Kuna mapepo katika form ya WANADAMU huko Nchi za walioendelea, wanapandikiza Roho za uchawi kwenye cartoon wanapozitengeza hivyo watoto wanafungwa kwenye uchawi wakiwa WADOGO.

SOLUTION.

Mzazi mfundishe mwanao neno la Mungu, hakikisha anasoma BIBLIA, msimulie bible stories, mpelekee Kanisani afundishwe, kamwe usiiachie tv na katuni imfundishe mwanao uchawi.

Nimemaliza.
 
Asante witch doctor ofisi zako zipo wapi??
 
Kwa hiyo watoto wafundishwe biblia tu?Umeanza akili za madrasa mchungaji!
 
Namaanisha,

Mzazi simamia future ya mwanao, simamia hatua zake.

Apate Elimu Bora, lakini pia hakikisha anamjua Mungu zaidi tangu akiwa mtoto, hataiacha njia hiyo njema Hadi awapo mtu mzima.

Ila narudia, cartoon nyingi now Zina uvuvio wa uchawi, kuwa sajili watoto katika uchawi, akikomaa, ataangamiza familia yote.

Amen
 
Huu uchawi ungekuwa na msaada Africa kungekuwa na matajiri wengi + maendeleo ya hatari, lakini sasa ni kinyume chake.

Uchawi wetu unaitwa science ya Giza, yaani mambo yanafanyika gizani na yasiyoelewekaeleweka tu, science ya wenzetu ndio ile unakwenda airport na mabegi unafunga mkanda chuma linapaa angani Kila kitu hadharani.
 
Hiyo no 1 kuna rafiki yangu alikuwa ananisimulia nilpokuwa mdog,kuwa usiku wanatuchukua tunaenda kubeba maboksi ya viberiti na kupakia kwenye gari aina ya Fuso
 
Back
Top Bottom