Dalili 7 Kuonesha kuwa mwili wako Umejaa sumu na jinsi ya kuziondoa

Dalili 7 Kuonesha kuwa mwili wako Umejaa sumu na jinsi ya kuziondoa

Dalili namba 1, 4,5,6,7 zote nnazo inabidi nianze kufanya utaratibu wa kuondoa sumu haraka aisee
 
Mkuu Mzee23 wapi naweza kupata unga wa mlonge hapa dar?
Mimi niko Dodoma mkuu, kwa dar sijui nani anauza ila ukitaka naweza kukutumia kwa basi ninao mkuu...10,000Tsh unapata wa kutumia miezi miwili,ila utaongeza na gharama ya kuusafirisha
 
Back
Top Bottom