Hata Mwenyezi Mungu alituwekea maini na figo vitutolee sumu na uchafu halafu ww unakuna kuleta porojo.kwanibkuna ubaya kuuliza vzr kama hujui?? Hebu tuwe waungwana
Mimi niko Dodoma mkuu, kwa dar sijui nani anauza ila ukitaka naweza kukutumia kwa basi ninao mkuu...10,000Tsh unapata wa kutumia miezi miwili,ila utaongeza na gharama ya kuusafirisha