Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 964
- 2,675
1. Anapenda kujishika nywele, kidevu, mikono, shingo na mashavu kila wakati
2. Anapenda kulamba au kung'ata lips mara kwa mara
3. Anapenda kupost picha au video zenye msisimko wa kingono mara kwa mara
4. Anapenda kupiga stori na kucheka cheka na akikaa sehemu anapenda kubana miguu
5. Ngozi yake inakuwa nyororo na yenye kuvutia sana (inawaka sana) na maziwa yake yanakuwa makubwa
6. Joto la mwili wake linakuwa juu sana na wakati mwingine utamsikia akilalamika kuwa anahisi joto hata kama watu wanaomzunguka hawasikii hali hiyo ya joto.
7. Wakati anaongea na mtu aliyevutiwa naye hushusha sauti sana, ila wale ambao hawajamvutia huwapandishia sana sauti kama anagomba hivi.
Mwanaume chukua code hizo kapambane nazo, mimi naenda zangu