Dalili gani hii?

Dalili gani hii?

Mipesa

Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
32
Reaction score
3
Habari wana jf,naomba naomba msaada. ni hv, maskan aliletwa housgal na mm kwa tamaa zangu nikaanza kumega. Mwanzon nilikuwa natumia kondom badae nkawa ctumii si unajua tena kwa housgal unamega muda wowote. Baada ya mwez sasa nimeanza kutokwa na vimajmaji vyeupe kwenye tupu yangu na uume umekuwa unaniwasha na nikijikuna naskia kama raha ivi.ayo majimaji nikikaa kila kama nusu saa ivi nayakuta yametoka na kuweka alama kwenye chupi au nikifanya kama napiga puri na kukamua pia yanatoka lkn co mengi ni kama vimatone. Je hii ni dalil ya ugonjwa wa zinaa.msaada please
 
Mbona umelichukulia suala la kumega house-girl kama sifa? Hebu badilika banaa! Kama ulifanya makosa unyesha kujutia? Kama unapendelea uhusiano huo basi usiufanye sifa. Kuhusu hilo gonjwa hebu subiri matabibu wa hapa JF
 
Take care kijana coz nahc kama ni dalili za kaswende.!? wahi hosptal kabla hali haijawa mbaya na tunaomba haya maelezo yako yote ukamwambie dr bila kuficha ili aweze kujua ints na ents ya tatizo lako zen upewe doze murua. pole sana.
 
tena mpeleke na mwenzio maana na yeye anaumwa tayari (hata kama mtaamua kuacha kamchezo)
 
Mhh, Dunia imekwisha. Maneno yako hayaonyeshi kuwa unajuta kumega housegirl. Nenda hospitalini ukadungwe sindano za kaswende. Hiyo ni dalili tosha kabisa ya kaswende. Ila jiandae kwa misindano minene kama msumali kwani dawa ya kaswende haiwezi kupenya kwenye sindano za kawaida.
 
Huu ndio upuuzi wa wanaume wengi kudhani yeye ndiio anamfundisha housegal ngono kumbe lahaula, sasa ujue dalili ya mvua ni mawingu. Wakati unapimwa kaswende pima na ngoma(Ukimwi)
 
kaswende hiyo. mkatibiwe wote sio uende peke yako.
 
Mbona umelichukulia suala la kumega house-girl kama sifa? Hebu badilika banaa! Kama ulifanya makosa unyesha kujutia? Kama unapendelea uhusiano huo basi usiufanye sifa. Kuhusu hilo gonjwa hebu subiri matabibu wa hapa JF

poa mkuu lkn ckuwa na nia ya kujisifu
 
Take care kijana coz nahc kama ni dalili za kaswende.!? wahi hosptal kabla hali haijawa mbaya na tunaomba haya maelezo yako yote ukamwambie dr bila kuficha ili aweze kujua ints na ents ya tatizo lako zen upewe doze murua. pole sana.

poa mkuu
 
Mhh, Dunia imekwisha. Maneno yako hayaonyeshi kuwa unajuta kumega housegirl. Nenda hospitalini ukadungwe sindano za kaswende. Hiyo ni dalili tosha kabisa ya kaswende. Ila jiandae kwa misindano minene kama msumali kwani dawa ya kaswende haiwezi kupenya kwenye sindano za kawaida.

yan kaka ungejua ninavyowaza, kimoyon najuta lkn maelezo wanaweza yakaonesha najisifu coz nimeandika jins nilivyokuwa wakat huo
 
Huu ndio upuuzi wa wanaume wengi kudhani yeye ndiio anamfundisha housegal ngono kumbe lahaula, sasa ujue dalili ya mvua ni mawingu. Wakati unapimwa kaswende pima na ngoma(Ukimwi)

poa mkuu
 
Umekaa poa mkuu, poa mkuu, thanks mkuu. hospitali huendi! nyanyuka hapo nenda hospitali! :blah:
 
Habari wana jf,naomba naomba msaada. ni hv, maskan aliletwa housgal na mm kwa tamaa zangu nikaanza kumega. Mwanzon nilikuwa natumia kondom badae nkawa ctumii si unajua tena kwa housgal unamega muda wowote. Baada ya mwez sasa nimeanza kutokwa na vimajmaji vyeupe kwenye tupu yangu na uume umekuwa unaniwasha na nikijikuna naskia kama raha ivi.ayo majimaji nikikaa kila kama nusu saa ivi nayakuta yametoka na kuweka alama kwenye chupi au nikifanya kama napiga puri na kukamua pia yanatoka lkn co mengi ni kama vimatone. Je hii ni dalil ya ugonjwa wa zinaa.msaada please

Hongera sana mkuu!! hii ni dalili ya mapenzi makubwa kati yenu na matokeo ya jinsi gani mnavyoaminiana. Vimajimaji hivyo hubeba alama za kina cha upendo wake (HG) kwako na kule kuwashawasha kunakokupa raha ni dalili kuwa mwili wako umepokea "kwa matumaini" mapenzi hayo. Kama huamini nisemacho, muone daktari.
 
Back
Top Bottom