Amri kuu ni Upendo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 789
- 489
HA HA HA HA UNAMTISHA MGENI MKUUNamba 1 na 7 vinajichanganya....siku nyingine usirudie kuweka picha ukiwa umelembua namna hiyo kuna wahuni wa Mombasa humu Ohoooo
Aje taratibu basi...mana spidi yake inatishia amani 😀HA HA HA HA UNAMTISHA MGENI MKUU
Perfect. I completely agree with you.View attachment 874495Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa.
by Saidi Makini MAFANIKIO
1. Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi,ana pesa za kununua nguo lakini hana PESA za kununua kitabu kitakachomuongezea maarifa.
2. Siku Zote ana muda wa kuchart watsapp, kuangalia Movie, kusoma magazeti na Kupiga stori za mpira ama za wasanii lakini hana MUDA wa Kusoma kuhusu taaluma yake ama mambo ya kumuongezea ujuzi.
3. Siku zote akiona waliofanikiwa anawatuhumu aidha wameiba, ni freemason ama wana bahati katika maisha. Huwachukia na hataki kujifunza Kwao.
4. Siku zote hupenda kuhalalisha kufeli kwake kwa kujitetea, kulaumu uchumi, wazazi, serikali au amerogwa.
5. Siku Zote Hujiona anajua Kuliko Mtu Yeyote Yule na hapendi Kujifunza kwa wengine. Huongea sana Kuliko Kusikiliza.
6. Kila anachoingiza anatumia, ukimwambia kusave ama kuwekeza anasema ngoja nipate cha ziada nitaanza kesho.
7. Anajua mambo mengi sana, anajua stori za mafanikio, anasoma vitabu lakini hafanyii kazi ama anafanyia kazi kidogo sana katika kile anachokijua.
Je Unayo dalili mojawapo kati ya hizo? Amua kubadilika ishi au fanya ukijua kesho ipo .... NDOTO YAKO INAWEZEKANA, CHUKUA HATUA.View attachment 874492
Jomoniii😂😂😂Hehehe
Ndugu ... Unatisha
Piga hata scrub basi
Theories ndo huleta vitendo, jambo lolote huanza na nadharia then baada nadharia ndo vitendo ili kutekeleza hiyo nadharia!Haya ni mawazo ya wanafunz wa vyuo vikuu Huwa wanaamini katika maandishi kuliko vitendo
Ila theory inakuja baada ya vitendo si ndio? kwasababu hawezi ku create theory Bila kuona vitendo dudeTheories ndo huleta vitendo, jambo lolote huanza na nadharia then baada nadharia ndo vitendo ili kutekeleza hiyo nadharia!
Tatizo lenu mliokimbia shule mnaufinyu wa mawazo mmejaa ujinga kichwani
Ukishaanza kuuza mitumba tu ndo unajiona upo na vitendo sana!! Stupid!
Hujui hata hiyo mitumba ilianza na theory
hahaha comment kama hizi huwa zinanogesha nyuzi sana
Chief nahisi hujaiona hii comment ya Ngopyolo, nimecheka kinoma..Binadamu gani anaturembulia??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]We umefanikiwa? Kipimo cha kufanikiwa au mtu mwenye mafanikio ni kipi?
Kitambi?
Gari?
Nyumba?
Kampuni?
Nk
Kuna watu wanapesa lukuki lakini wamefell kwenye mambo mengine
Pia kuna wamiliki wa nyumba hawana hata pesa ya chai
Usiwe mjinga kwa kupima mafanikio ya mtu kwa kigezo chako mwenyewe!
Kumiliki blog tayari unajiona umefanikiwa wakati umefeli kwenye kutathimini mambo
Nan kakudanganya? Chemsha bongo! Kitendo chochote kinaanza na fikra(theory)Ila theory inakuja baada ya vitendo si ndio? kwasababu hawezi ku create theory Bila kuona vitendo dude
namba 5 imedhiirika kwenye comment za watu inaonesha umewakuna kunapo washaa...View attachment 874495Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa.
by Saidi Makini MAFANIKIO
1. Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi,ana pesa za kununua nguo lakini hana PESA za kununua kitabu kitakachomuongezea maarifa.
2. Siku Zote ana muda wa kuchart watsapp, kuangalia Movie, kusoma magazeti na Kupiga stori za mpira ama za wasanii lakini hana MUDA wa Kusoma kuhusu taaluma yake ama mambo ya kumuongezea ujuzi.
3. Siku zote akiona waliofanikiwa anawatuhumu aidha wameiba, ni freemason ama wana bahati katika maisha. Huwachukia na hataki kujifunza Kwao.
4. Siku zote hupenda kuhalalisha kufeli kwake kwa kujitetea, kulaumu uchumi, wazazi, serikali au amerogwa.
5. Siku Zote Hujiona anajua Kuliko Mtu Yeyote Yule na hapendi Kujifunza kwa wengine. Huongea sana Kuliko Kusikiliza.
6. Kila anachoingiza anatumia, ukimwambia kusave ama kuwekeza anasema ngoja nipate cha ziada nitaanza kesho.
7. Anajua mambo mengi sana, anajua stori za mafanikio, anasoma vitabu lakini hafanyii kazi ama anafanyia kazi kidogo sana katika kile anachokijua.
Je Unayo dalili mojawapo kati ya hizo? Amua kubadilika ishi au fanya ukijua kesho ipo .... NDOTO YAKO INAWEZEKANA, CHUKUA HATUA.View attachment 874492
View attachment 874495Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa.
by Saidi Makini MAFANIKIO
1. Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi,ana pesa za kununua nguo lakini hana PESA za kununua kitabu kitakachomuongezea maarifa.
Vitabu pia vinapatikana mitandaoni. Bando linahitajika.
5. Siku Zote Hujiona anajua Kuliko Mtu Yeyote Yule na hapendi Kujifunza kwa wengine. Huongea sana Kuliko Kusikiliza.
Kuna dizaini ya watu wengi ambao hujiona wanajua kila kitu, lakini wamefanikiwa. Mf: jiwe.
Kweli maana ujuaji ni hasara kwa wengi, maana hata humu tu, wengi ni problemsnamba 5 imedhiirika kwenye comment za watu inaonesha umewakuna kunapo washaa...