Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa.

View attachment 874495Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa.
by Saidi Makini MAFANIKIO

1. Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi,ana pesa za kununua nguo lakini hana PESA za kununua kitabu kitakachomuongezea maarifa.

2. Siku Zote ana muda wa kuchart watsapp, kuangalia Movie, kusoma magazeti na Kupiga stori za mpira ama za wasanii lakini hana MUDA wa Kusoma kuhusu taaluma yake ama mambo ya kumuongezea ujuzi.

3. Siku zote akiona waliofanikiwa anawatuhumu aidha wameiba, ni freemason ama wana bahati katika maisha. Huwachukia na hataki kujifunza Kwao.

4. Siku zote hupenda kuhalalisha kufeli kwake kwa kujitetea, kulaumu uchumi, wazazi, serikali au amerogwa.

5. Siku Zote Hujiona anajua Kuliko Mtu Yeyote Yule na hapendi Kujifunza kwa wengine. Huongea sana Kuliko Kusikiliza.

6. Kila anachoingiza anatumia, ukimwambia kusave ama kuwekeza anasema ngoja nipate cha ziada nitaanza kesho.

7. Anajua mambo mengi sana, anajua stori za mafanikio, anasoma vitabu lakini hafanyii kazi ama anafanyia kazi kidogo sana katika kile anachokijua.

Je Unayo dalili mojawapo kati ya hizo? Amua kubadilika ishi au fanya ukijua kesho ipo .... NDOTO YAKO INAWEZEKANA, CHUKUA HATUA.View attachment 874492
Perfect. I completely agree with you.
Hongera sana kwa thread nzuri. Endelea kutuletea thread nzuri kama hizi.

Big up[emoji123]
 
Kila siku tunaimba humu 'MAISHA HAYANA FORMULA', Kwanini hamtaki kusikia
 
Haya ni mawazo ya wanafunz wa vyuo vikuu Huwa wanaamini katika maandishi kuliko vitendo
Theories ndo huleta vitendo, jambo lolote huanza na nadharia then baada nadharia ndo vitendo ili kutekeleza hiyo nadharia!
Tatizo lenu mliokimbia shule mnaufinyu wa mawazo mmejaa ujinga kichwani
Ukishaanza kuuza mitumba tu ndo unajiona upo na vitendo sana!! Stupid!
Hujui hata hiyo mitumba ilianza na theory
 
Ila mafanikio Hayaji kwa kusoma vitabu na kujifunza kwa waliotangulia tu mafanikio ni hatua kwa hatua.

Usisahau ukijikwaa simama jipukute kisha endelea na safari kamwe usiogope kufeli. Hizo Ups and Down zipo tu na zinakuweka imara sana. Good lucky
 
Theories ndo huleta vitendo, jambo lolote huanza na nadharia then baada nadharia ndo vitendo ili kutekeleza hiyo nadharia!
Tatizo lenu mliokimbia shule mnaufinyu wa mawazo mmejaa ujinga kichwani
Ukishaanza kuuza mitumba tu ndo unajiona upo na vitendo sana!! Stupid!
Hujui hata hiyo mitumba ilianza na theory
Ila theory inakuja baada ya vitendo si ndio? kwasababu hawezi ku create theory Bila kuona vitendo dude
 
We umefanikiwa? Kipimo cha kufanikiwa au mtu mwenye mafanikio ni kipi?
Kitambi?
Gari?
Nyumba?
Kampuni?
Nk
Kuna watu wanapesa lukuki lakini wamefell kwenye mambo mengine
Pia kuna wamiliki wa nyumba hawana hata pesa ya chai
Usiwe mjinga kwa kupima mafanikio ya mtu kwa kigezo chako mwenyewe!
Kumiliki blog tayari unajiona umefanikiwa wakati umefeli kwenye kutathimini mambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ila theory inakuja baada ya vitendo si ndio? kwasababu hawezi ku create theory Bila kuona vitendo dude
Nan kakudanganya? Chemsha bongo! Kitendo chochote kinaanza na fikra(theory)
Ndo maana unaambiwa fikri kabla ya kutenda na sio tenda kabla ya kufkri. Stupid!
 
View attachment 874495Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa.
by Saidi Makini MAFANIKIO

1. Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi,ana pesa za kununua nguo lakini hana PESA za kununua kitabu kitakachomuongezea maarifa.

2. Siku Zote ana muda wa kuchart watsapp, kuangalia Movie, kusoma magazeti na Kupiga stori za mpira ama za wasanii lakini hana MUDA wa Kusoma kuhusu taaluma yake ama mambo ya kumuongezea ujuzi.

3. Siku zote akiona waliofanikiwa anawatuhumu aidha wameiba, ni freemason ama wana bahati katika maisha. Huwachukia na hataki kujifunza Kwao.

4. Siku zote hupenda kuhalalisha kufeli kwake kwa kujitetea, kulaumu uchumi, wazazi, serikali au amerogwa.

5. Siku Zote Hujiona anajua Kuliko Mtu Yeyote Yule na hapendi Kujifunza kwa wengine. Huongea sana Kuliko Kusikiliza.

6. Kila anachoingiza anatumia, ukimwambia kusave ama kuwekeza anasema ngoja nipate cha ziada nitaanza kesho.

7. Anajua mambo mengi sana, anajua stori za mafanikio, anasoma vitabu lakini hafanyii kazi ama anafanyia kazi kidogo sana katika kile anachokijua.

Je Unayo dalili mojawapo kati ya hizo? Amua kubadilika ishi au fanya ukijua kesho ipo .... NDOTO YAKO INAWEZEKANA, CHUKUA HATUA.View attachment 874492
namba 5 imedhiirika kwenye comment za watu inaonesha umewakuna kunapo washaa...
 
View attachment 874495Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa.
by Saidi Makini MAFANIKIO

1. Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi,ana pesa za kununua nguo lakini hana PESA za kununua kitabu kitakachomuongezea maarifa.
Vitabu pia vinapatikana mitandaoni. Bando linahitajika.

5. Siku Zote Hujiona anajua Kuliko Mtu Yeyote Yule na hapendi Kujifunza kwa wengine. Huongea sana Kuliko Kusikiliza.
Kuna dizaini ya watu wengi ambao hujiona wanajua kila kitu, lakini wamefanikiwa. Mf: jiwe.
 
Back
Top Bottom