Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa.

Wongo mtupu we inaelekea huna hizo sifa ulizoandika hapo juu... Najiona upo sawa...mi naongea sana kuliko kusilikiliza lakin namaendeleo vizur vocha nanunua whasap naingia na Pesa naingiza vilevile
 
View attachment 874495Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa.
by Saidi Makini MAFANIKIO

1. Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi,ana pesa za kununua nguo lakini hana PESA za kununua kitabu kitakachomuongezea maarifa.

2. Siku Zote ana muda wa kuchart watsapp, kuangalia Movie, kusoma magazeti na Kupiga stori za mpira ama za wasanii lakini hana MUDA wa Kusoma kuhusu taaluma yake ama mambo ya kumuongezea ujuzi.

3. Siku zote akiona waliofanikiwa anawatuhumu aidha wameiba, ni freemason ama wana bahati katika maisha. Huwachukia na hataki kujifunza Kwao.

4. Siku zote hupenda kuhalalisha kufeli kwake kwa kujitetea, kulaumu uchumi, wazazi, serikali au amerogwa.

5. Siku Zote Hujiona anajua Kuliko Mtu Yeyote Yule na hapendi Kujifunza kwa wengine. Huongea sana Kuliko Kusikiliza.

6. Kila anachoingiza anatumia, ukimwambia kusave ama kuwekeza anasema ngoja nipate cha ziada nitaanza kesho.

7. Anajua mambo mengi sana, anajua stori za mafanikio, anasoma vitabu lakini hafanyii kazi ama anafanyia kazi kidogo sana katika kile anachokijua.

Je Unayo dalili mojawapo kati ya hizo? Amua kubadilika ishi au fanya ukijua kesho ipo .... NDOTO YAKO INAWEZEKANA, CHUKUA HATUA.View attachment 874492
Namba 1 na 7 vinajichanganya....siku nyingine usirudie kuweka picha ukiwa umelembua namna hiyo kuna wahuni wa Mombasa humu Ohoooo
 
Hizo sifa ulizotaja zina muunganiko gani na hiyo picha mkuu???
 
Wenzako wanaanzaga kuifaham jf wakiwa guest kwanza na baada ya kuifaham ndo anajiunga then baada ya mda tena ashasoma gap ana comment taratb taratb na baada ya kuuelewa upepo vzr ndo anaandka uzi, asa wewe si ajab umeijua jana, leo umejiunga asaiv umeandka uzi, Matokeo yake n kutuwekea picha na links,

Ngoja wehu waamke huko utataman uingie kwenye kopo la chumvi
 
ahsante kwa nondo kaka ila namba moja na sabaa vipi hapo hebu pasome vizuri au sioni vizurii
 
View attachment 874495Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa.
by Saidi Makini MAFANIKIO

1. Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi,ana pesa za kununua nguo lakini hana PESA za kununua kitabu kitakachomuongezea maarifa.

2. Siku Zote ana muda wa kuchart watsapp, kuangalia Movie, kusoma magazeti na Kupiga stori za mpira ama za wasanii lakini hana MUDA wa Kusoma kuhusu taaluma yake ama mambo ya kumuongezea ujuzi.

3. Siku zote akiona waliofanikiwa anawatuhumu aidha wameiba, ni freemason ama wana bahati katika maisha. Huwachukia na hataki kujifunza Kwao.

4. Siku zote hupenda kuhalalisha kufeli kwake kwa kujitetea, kulaumu uchumi, wazazi, serikali au amerogwa.

5. Siku Zote Hujiona anajua Kuliko Mtu Yeyote Yule na hapendi Kujifunza kwa wengine. Huongea sana Kuliko Kusikiliza.

6. Kila anachoingiza anatumia, ukimwambia kusave ama kuwekeza anasema ngoja nipate cha ziada nitaanza kesho.

7. Anajua mambo mengi sana, anajua stori za mafanikio, anasoma vitabu lakini hafanyii kazi ama anafanyia kazi kidogo sana katika kile anachokijua.

Je Unayo dalili mojawapo kati ya hizo? Amua kubadilika ishi au fanya ukijua kesho ipo .... NDOTO YAKO INAWEZEKANA, CHUKUA HATUA.View attachment 874492
Dalili au tabia za maskini wengi. Kama unabisha angalia asilimia kubwa ya watz maskini wanaishije.
Bila kusahau roho mbaya, pale ambapo mtu mwenye uwezo akipata shidah yeye hushangilia.
 
Hivi kabla ya Watsap, Instagram na mitandao mingine ya kijamii tulikuwa tunapata maendeleo haraka?
 
Back
Top Bottom