1- Atajiona yeye ni bingwa wa masumbwi uzito wa juu duniani na ana uwezo wa kumpiga mtu yyte......
2- Atajiona ana uwezo mkubwa wa kichawi kiasi kwamba anaweza kukojoa hapa hapo alipokaa na watu wasimuone
3- Atajiona ameshakuwa tajiri wa ghafla na kuanza kuwaagizia vinywaji watu ambao hata hafahamiani nao, utackia mpe na yule lofa, na yule bwege muongeze, hebu mpelekee na yule juha ambae anakaa na mwanamke mzuri lakini hana kitu halafu katuitie na mtu wa jikoni......Fanya haraka weweeeeeeeeeew.....hapo anasema kwa sauti ya juu sana.....
Ukiona dalili hizo ujue huyo netiweki imekata