Dalili Kuu za Mlevi

Dalili Kuu za Mlevi

Hizi ndizo dalili kuu za mtu anayeanza kukata network baada ya kuondoa na safari kadhaa za ulabu


  1. Alikua anaongea kawaida tu lakini taratibu sauti inapanda
  2. alikua anaongea kiswahili ataanza kuchanyanya na kidhungu
  3. glasi alikua anaweka taratibu na sasa kila anapoweka lazima kuwe na mshindo wa meza kwa sababu anaiona iko karibu kuliko mwanzo
  4. kama ni mwanaume aliingia akiona wahudumu wabaya utaanza anaanza kuwatamani
  5. ..........................ongeza
Ata achaje mzigo uko full kichwani?
 
anaanza kutembea kwa kuruka kutokana na kuona mabonde ilhali barabara ni tambarare
 
Back
Top Bottom