Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa lete habari yako MkuuHalizenu jamani
huyu mzee na yule jamaa wa msata ni wa kukaa nao mbali! mwingine ni yule mzee wa mastory ya miujiza...agghhhWe jamaa tapeli sana wewe.
Una Asidi nyingi Tumia dawa hii itawea kukusaidia .Chukuwa punje 1 ya Kitunguu Saumu tafuna umeze na ukinjwa Asali safi kipimo cha nusu glasi Asubuhi kabla ya kula kitu na wakati wa mchana kula tena na wakati wa usiku tumia tena hiyo njia kwa siku 3 au siku 5 utapona. Usipo pona basi utakuwa una mambo ya kichawi utanitafuta mimi kwa wakati wako.Habari mtaalam! Mimi nina tatizo la tumbo kujaa gesi na baada ya kujaa gesi najihisi kwenda haja kubwa. Kwa siku najisaidia haja kubwa zaidi ya mara nne hususan wakati wa asubuhi. Tumbo likijaa gesi hata kazi siwezi kufanya. Hiyo inaweza kuwa dalili za uchawi?
RIP DR.SEBI ni Mwalimu Wangu Mungu amlaze Pema Peponi Amin.I SEE A PROFILE PICTURE OF YOURS ON DR. SEBI. GREAT MAN INTO HERBAL EFFICIENCY.