#COVID19 Dalili nne za kawaida za Covid-19 ambazo hutokea kwa watu wengi

#COVID19 Dalili nne za kawaida za Covid-19 ambazo hutokea kwa watu wengi

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Shirika la Afya Duniani limeweka bayana dalili nne za kawaida za Covid-19 ambazo hutokea kwa watu wengi zaidi.

Dalili hizo zinatajwa kuwa ni kupata homa, kupata kikohozi, kuhisi uchovu usio wa kawaida pamoja na kupoteza uwezo wa kuhisi ladha na harufu.

Dalili hizi zinakadiriwa kuanza kuaonekana kuanzia siku 5 mpaka 6 tangu mtu apate maambukizi ya #coronavirus

Unasisitizwa upatapo dalili hizo chukua tahadhari kwa kukaa mbali na wengine huku ukifanya mchakato wa kwenda kituo cha afya kupima na kutibiwa.
===

COVID-19 affects different people in different ways. Most infected people will develop mild to moderate illness and recover without hospitalization.

Most common symptoms:
fever
cough
tiredness
loss of taste or smell
 
Back
Top Bottom