Dalili nne za mtu kuwa ni mtumwa kiuchumi

Dalili nne za mtu kuwa ni mtumwa kiuchumi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Leo tupate maarifa kidogo kwenye eneo la kiuchumi. Inawezekana unapitia kipindi fulani kwenye uchumi lakini ufahamu au uelewi kama ni miongoni mwa watu ambao ni watumwa wa kiuchumi
==================
Mshauri wa Fedha, Uchumi na Uwekezaji, Janeth Soka ameelezea dalili nne za mtu kufahamu kama ni mtumwa kiuchumi.

Ametaja dalili au hali hizo ni pamoja na mtu kufanya kazi kwa muda mrefu bila maendeleo yoyote, kutofurahia hali hiyo na haujui jinsi ya kujikwamua, mikopo mingi pamoja na kipato kutokukidhi mahitaji muhimu.

 
Back
Top Bottom