Dalili nyingine ya umasikini: "Weka chips za kushiba"

Utamsikia yuko pembeni anasisitiza "usisahau chombeza kaka" anataka ashibe kabisa kisa kanunua mishikaki ya buku
Ila ndo maisha ya hizi nchi zetu. Kuna nyakati unajikuta umekauka kabisa (na hii haina uhusiano na mtu kuwa mvivu, hili ni suala la kimifumo), mpaka inapelekea mtu kukosa namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…