Hao waliokuambia kuwa mwanano anao kimeo ungeanda kuwaona labda wanaweza kumtibia.naombeni msaada, mwanangu anaumwa umwa sana lakini kuna majirani zangu wameniambia atakua ana kimeo. Hvyo nataka kujua kwa kina kuhusu kimeo
Hao waliokuambia kuwa mwanano anao kimeo ungeanda kuwaona labda wanaweza kumtibia.Acha masuala ya kimeo mtoto akiumwa Mpeleke hospitali Daktari atajuwa anaumwa na kitu gani achana na majirani zako hao watakupoteza.
Umekwenda wewe Hospitali kulazwa au huyo mtoto wako? mbona unanichanganya? seme ukweli unaumwa wewe au mtoto ana miaka mingapi?asante,ila hosp nimeenda sana nimeshalazwa zaid ya mara 2, lakini hakuna maendeleo na watu wanadai hosp hawatambui huo ugonjwa
Umekwenda wewe Hospitali kulazwa au huyo mtoto wako? mbona unanichanganya? seme ukweli unaumwa wewe au mtoto ana miaka mingapi?
Mtoto wako wa miezi 9 umejuaje anacho kimeo?Mpeleke tena hospitali ikiwezekana mpeleke kwenye hospitali ya watoto au mpeleke hospitali ya Muhimbili au Hospitali ya hindu mandal huko kuna wataalam wa watoto usingojee hapa ushauri mtoto mdogo sana huyo.mwanangu ndo anaumwa,kwahyo lazima na mie nilale nae,mwanangu ana miez 9 tu
jinsi ya kukagua hicho kimeo.mchungize ulimi wake unanyanyuka juu..mm nnavyojua kimeo ni ile hali ya ulimi kutokunyanyuka juu unang'ang'ania chini....
naombeni msaada, mwanangu anaumwa umwa sana lakini kuna majirani zangu wameniambia atakua ana kimeo. Hvyo nataka kujua kwa kina kuhusu kimeo
Mtoto wako wa miezi 9 umejuaje anacho kimeo?Mpeleke tena hospitali ikiwezekana mpeleke kwenye hospitali ya watoto au mpeleke hospitali ya Muhimbili au Hospitali ya hindu mandal huko kuna wataalam wa watoto usingojee hapa ushauri mtoto mdogo sana huyo.
Pole, lakini ningeuliza Unamaanisha nini kusema mwanao anaumwa sana?...Ni nini hasa anaumwa? Hospitali ulikwenda kwa dalili gani? matibabu gani aliyopata?
Sasa, Kimeo Kwa Jinsi Ni Juavyo Ni Ka Nyama Furani Ambako Huota Mwishoni Mwa Kinywa. Wanadamu Wote Tunacho Na Huwa Na Madhara Kinapokuwa Kirefu Na Kugusa Ulimi. Hapo Mtu Atapatwa Na Kikoozi Kisicho Isha, Atatapika Vyakula Vyote. Yaani Ni Kama Kinywa Kinakuwa Kimefungwa. Ni Hatari Kwa Maisha Ya Mtu. Wengine Wanaita Kilimi. Wazazi Wengi Iringa Huwapeleka Watoto Kwa FUNDI, Kukata Kimeo, Huwapeleka Tatizo Linapo Kuwa Kubwa Na Hata Habla Ili Kujihami. Ila Sikushauri Kufanya Hvi. Kukiondoa, Mimi Mwenyewe Kimekuwa Kikubwa Kimeanza Kunitisha, Lakini Nimesikia Tatzo Hilo Linatibiwa Vyema Kitaalamu Kwa Baadhi Ya Hospitali. Nimeandika Ili Kulaimisha Mada. Wakuu Endelea
Achana na issue za kimeo
Kesho watakwambia kakikate
Hakuna kitu kama hicho
Mpeleke mtoto kwa daktari wa watoto, achinguzwe na mtaalam ampaatie tiba ya kufaa
mwanangu anaendelea vizuri. Ila bado kilo hazijakaa vizur