johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Dalili hazionyeshi kabisa kama Freeman Mbowe anajiandaa kustaafu
Dalili pia hazionyeshi kama baada ya Halima Mdee kuasi Mbowe aliandaa mtu mwingine wa kumrithi kama Mwenyekiti wa Chadema
Kiufupi ni kwamba dalili zote zinaonesha Mbowe atagombea tena kama alivyowahi kusema ex mayor Bonny
Mlale Unono!