Dalili za Fangasi ukeni

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
●Kuwa na miwasho sehemu za siri mara kwa mara
●Vipele vidogo vidogo ukeni
●Kutokwa na uchafu mweupe au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya
●Vidonda au kuwa na michubuko ukeni
●Kutokwa na harufu mbaya ukeni
Kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa au tumbo La chini
●Kuvimba au kuwa mwekundu katika mdomo wa nje ya uke.
●Kuwaka moto ndani na nje ya uke.

Fangasi Isipotibiwa huingia mpaka kwenye kizazi na kusababisha PID.

Jali Afya yako.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…