tarmy
New Member
- May 15, 2019
- 2
- 2
UGONJWA WA DENGUE NI MOJA KATI YA MAGONJWA HATARI AMBAPO IMETAJWA KUWA WATU 12000 WAMEGUNDULIKA NA UGONJWA HUO KUANZIA MWENZI JANUARI MPKA MWENZI WA TANO HUKU JIJI LA DAR ES SALAAM LIKIONGOZA KWA KUWA NA WAGONJWA WENGI IKIWA NA WAGONJWA 1150.....
UGOJNWA HUU WA DENGUE HUWEZA KUTAMBULIKA KWA KUPITIA DALILI ZAIFUATAZO:
1-homa ya ghafla
2-kuumwa kichwa
3-uchovu
4-maumivu ya maungo na misuli
5-kichefuchefu na kutapika
6-maumivu ya macho
7-muwasho na vipele vidogo vidogo
PIA ZIPO NJIA ZA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU HATARI WA DENDUE:
1-kuangamiza mazalia ya mbu
2-kulala kwenye chandarua chenye dawa
3-kuvaa nguo ndefu
Homa yq dengue inaambukizwa na virusi vya mbu aina ya Aedes ambao ni weusi wenye madoa meupe yenye kunga'aa ...dalili za UGONJWA huu huanza kuonekana Siku 3 mpka 14 toka mtu alipoambukizwa
Ndugu zangu wananchi tuchukue tahadhari na UGONJWA huu kwa kulala kwenye vyandarua vilivyotiwa dawa na kuondoa mazalia ya mbu kwa maelezo zaid ni follow Instagram @tarmybreez_51 au email nehemiaabed51@gmail.com...... Kwa. pamoja tunaweza kutokomeza dengue na kuokoa nguvu kazi ya taifa inayoweza kupotea