Dalili za Kuanguka kwa CLOUDS

Dalili za Kuanguka kwa CLOUDS

kapesly

Senior Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
163
Reaction score
108
Mwalimu wa shule yetu huwa anapenda kutumia kiswaEnglish kwenye somo lake la geohraph.....
Juzi kauliza swali????
Teacher: " nani anajua Dalili za kuanguka kwa CLOUDS "
Tukanyoosha mikono wengi,
Kwasababu Mimi huwa najitahid katika geog akanichagua mimi....
Mimi: "Bashite akiwa na hisa 61% za Clouds"

Kilichofuata..................

😎😕😕😕
 
Ndio maana post ikawa katika jukwaa la jokesss
Uhalisia ni kwamba Clouds wanafanya vizuri hata kuthubutu kukosoa baada ya kutoka kwenye kifungo cha Bashite na chama chake..
 
Sijaelewa kilichoandikwa hapa.Ngoja nikaoge nionde uchovu kwanza
 
Ulichezea stick nadhani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom