EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Na watazidi kwa kipindi cha mitano mingine ijayoNakumbuka kuna mtu aliwahi kusema wakati tunaanza 2016 kwamba kufikia 2020 kutakuwa idadi kubwa sna ya wagonjwa wa Presha, Kisukari na pia watu wanajiua, yanatimia jadidi