Dalili za kujinyonga

Nakumbuka kuna mtu aliwahi kusema wakati tunaanza 2016 kwamba kufikia 2020 kutakuwa idadi kubwa sna ya wagonjwa wa Presha, Kisukari na pia watu wanajiua, yanatimia jadidi
Na watazidi kwa kipindi cha mitano mingine ijayo
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji124]
Mtu anauwa kwa kupigwa risasi na maganda ya risasi yakutwa eneo la tukio wanasema ameuwa ni kiti kinachodhaniwa kuwa ni bunduki,
Kule Iringa polisi hawahawa walimuua Mwangosi kwa bomu halafu wakasema ameuawa na kitu kinachodhaniwa kuwa silaha !!

Jr[emoji769]
 
Awamu hii ya 5 unaweza ukawa chizi usijijue kama umeshakuwa chizi mpaka hapo utakapoona watu wanakuvizia na kamba ndio utagundua hauko timamu
Kwa kifupi viongozi wote awamu hii waende wakapimwe afya ya akili..... Naona faza hausi katangaza tufuge wanyamapori.... Sasa sijui naanzaje mie kufuga chui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi viongozi wote awamu hii waende wakapimwe afya ya akili..... Naona faza hausi katangaza tufuge wanyamapori.... Sasa sijui naanzaje mie kufuga chui

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliona jana kwenye luninga, ninavyoijua mimi hii serikali mtu asije kujidanganya kuanzisha hayo sijui mazoo, sijui mashamba ya wanyama, unaweza kuanza leo vizuri, kazi ikikaa vizuri shamba likajaa wanyama, utasikia wanakuja wanakuambia umevunja sheria, wanataifisha na wanakufungulia kesi, sasa hapo ndio ulikuwa umeweka hela yako baada ya kustaafu, si utakufa mapema sana, maana hawaamiki hata kidogo, watakuambia nyara za serikali, watu wananunua silaha kihalali, wanalipia maleseni yao, unashangaa wanakukamata wankuambia unamiliki silaha kinyume na sheria, wengi wameshabambikwa makesi hivihivi
 
[emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23]
Matembele yepi kaka, haya haya ya kukulia ugali?!
Hapana, usicheze na fenesi kabisaa jamani kaka! Utamu wa fenesi sio wa kufananisha kabisa jamani kaka

Jr[emoji769]
 
Ogezea

1. Kugonga nyagi kwa maandalizi ya kazi nzuri halafu fimale asitokee

2. Kucheza michezo ya kubahatisha ukakosa timu 1 kati ya 20 ilozozichagua

3. Mwanafunzi kula school fees

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ogezea

1. Kugonga nyagi kwa maandalizi ya kazi nzuri halafu fimale asitokee

2. Kucheza michezo ya kubahatisha ukakosa timu 1 kati ya 20 ilozozichagua

3. Mwanafunzi kula school fees

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Hivi vyombo vya dola vimekosa kazi, kuna mambo mengi muhimu ya kushughulikia katika hii nchi, hawayaoni???
 
Labda binadamu wote tuliopo ndani ya ardhi ya Tanzania ni mali ya serikali, ndio maana wakikuta na dhamira yako ya kutaka kujinyonga kabla hujaitekeleza watakupeleka mahakamani kama walivyosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…