Au mpo kwenye kikao au semina afu mtu akakukonyeza...hivi utafikiriaje?
najua nitakumbana na vichwa humu ambao wataweza kulifafanua hili suala hivi inakuwaje unamkuta mwanamke au mwanamme hamjuani wala hamjawahi kuonana sehemu yoyote na akukutolea macho kwa sana lakini ukimuangalia yeye anageuza uso na kama ni wewe unafanyaje?
Funguka bwana..!!Leo mtasema yoteeee....ngoja nikae pembeni hapa nione watu wanavyotiririka.
Funguka bwana..!!
Kama hayajakukuta basi umefanya
Nataka nawe ugeuke tutizamane...Mi kila nikiangalia avatar yako...huwa naona unaniangalia tuuu kila siku, una nini nami hebu nieleze tafwazali
Nataka nawe ugeuke tutizamane...