Dalili za mapenzi kufa

Dalili za mapenzi kufa

It is what it is....ubusy Huo kwioo
Screenshot_20210218-025508_1613615416506.jpg
 
Akianza kujibu kwa kifupifupi, unaandika SMS ndio anaishia kujibu K, YES, NOTED, LATER
 
Jinsia yangu ni ME na hizi ni baadhi ya dalili KE huonesha;
  • Dharau
  • Anajibu kifupi mf. "K"
- Anakuwa busy sana mf. Anaweza akakuta missed call na asikutafute na ukipiga kimya inakuwa imeisha hiyo kihivyo
  • Atakereka na chochote utakachofanya hata huko nyuma alikuwa anapenda umfanyie na hata vitu vidogo vidogo ufanyavyo vitamkera pia mf: unaweza ukachukua dawa ya meno ukaiminya katikati na akakumind kwa nini umeiminya ktkt badala ya kuanza kuminyia chini kabisa na ukanuniwa siku nzima
  • Utapigwa vizinga non-stop na ukishindwa kuvimudu atalalamika humjali kwa hiyo humfai. N.k
  • Masharti yatakuwa mengi sana mf. Hupewi k bila kutimiza baadhi ya vitu anavyopenda kama simu n.k

Ushauri:
  • Usije ukamng'ang'ania asiyekupenda mwisho wake unakuwa sio mzuri. Chukua hamsini zako nae achue zake.
  • Weka akiba ya maneno
  • Penda kwa kiasi
  • Fanya mambo yako na uyape umuhimu kuliko yeye itakusaidia akiamua kusepa hutakuwa na majuto sana

Msemo wa leo:
Don't make yourself learn the hard way
 
[emoji23]Dah! Nakupenda sana credit,natamani tuwe wote tupumzishane na hizi mambo za kutembelea Quora
,[emoji3][emoji3][emoji3]...Mkuu nilivyogoogle signs he doesn't love you anymore..

Sign ya Kwanza ilikua googling signs that he doesn't love you anymore [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...

Aiseee....Nimecheka Sana..nikivyokumbuka.
 
Dalili za kuachwa ni mbili tuu
Hizo zingine ni bwebwe
1.ukiona speed ya mpenzi wako kukutafuta imepungua mpaka umtafute wewe

2.Dalili ya pili mpenzi wako yupo bize mambo yake kwa muda mrefu

3.Dalili ya tatu anapunguza story na ww

Ukiona dalili hizi kuwa mpole tuu wala usiseme chochote
 
Wakati ambao unajiuliza kama kweli anakupenda au anakupotezea muda hapo penzi huwa sio limekufa bali limeshazikwa. Ukiwa kwenye mahusiano ya mapenzi watu wawili mnaopendana huwa hamna kujiuliza kama kweli anakupenda, atakuambia na utaona kwa vitendo.
 
,[emoji3][emoji3][emoji3]...Mkuu nilivyogoogle signs he doesn't love you anymore..

Sign ya Kwanza ilikua googling signs that he doesn't love you anymore [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...

Aiseee....Nimecheka Sana..nikivyokumbuka.
Ndio tufungue tawi jipya sasa maana we'll know the situation going on btn us
Au unasemaje my ustadhat.
 
Dalili za kuachwa ni mbili tuu
Hizo zingine ni bwebwe
1.ukiona speed ya mpenzi wako kukutafuta imepungua mpaka umtafute wewe

2.Dalili ya pili mpenzi wako yupo bize mambo yake kwa muda mrefu

3.Dalili ya tatu anapunguza story na ww

Ukiona dalili hizi kuwa mpole tuu wala usiseme chochote
Kukubali kuwa hutakiwi nacho kipaji...
 
Back
Top Bottom