Pindima
JF-Expert Member
- Aug 16, 2011
- 347
- 82
Mjue mume aliyekuwa ana
mwanamke mwengine
1)Kuchelewa kurudi nyumbani
bila sababu za msingi
2)Overtime kazini zinazidi kumbe
hayuko kazini
3)Simu haikai chini mpaka chooni
pengine anaingia nayo
4)Simu anaitia pin number
ukimwambia nipe pin yako ugomvi
5)Simu inawekwa silence
anapokuwa nyumbani au kuzimwa
kabisa ili ikipigwa wewe usiisikie
6)Akiwepo kwenye computer
ukimfata tu mara ghafla
hubadilisha na kurukia kwengine
na hasa akiwa anachat husign out
haraka
7)Ana sim card zisizopunguwa
tatu na hizo ukimuuliza hujifanya
za biashara na mbali nyengine
ambazo wewe huzijui
8)Anaporudi kwa kimada huwa
mwenye furaha na mkarimu sana
kwako na hapo hata umwambie
nibebe mgongoni unipeleke
Mwembemakumbi kwa mguu
atakupeleka
9)Ukimuuliza kwanini umechelewa
kurudi au ukiulizia chochote
kwanini una sim card nyingi au
nipe pin ya simu anakuwa mkali
sana na ugomvi
10)Anapokuwa kwenye computer
au simu hukutupia jicho la
pembeni kama anakuchungulia
kumbe ana lake
11)Kwenye simu yake huwa
kasave majina tafauti mfano
Mayasa kaliweka Khamis au Boss
au Dude
12)Akisha kuchelewa kurudi
hujibabaisha na pengine hata
pete ya dhahabu utanunuliwa
ilimradi usahau kule kuchelewa
kwake
13)Huaga anaenda kazini kumbe
yupo off anaelekea kwa kimada
15)Mara nyingi simu yake haikai
messages zinafutwa na missed
call,received,Dialled zote hufutwa
16)Akilala simu huwa chini ya mto
au haichezi mbali
17)Anapotuma vimessage huwa na
wasiwasi huku anakuchungulia
hujidai kuzungumza na wewe
lakini maneno hayaelekei na
unachomzungumzisha kumbe akili
yake haipo iko kwenye kimada's
message
Nadhani zipo nyingi nyengine
hazikuoredheshwa nawe tupia zako na hata dalili za wanawake kuwa na jamaa mwengine!!
mwanamke mwengine
1)Kuchelewa kurudi nyumbani
bila sababu za msingi
2)Overtime kazini zinazidi kumbe
hayuko kazini
3)Simu haikai chini mpaka chooni
pengine anaingia nayo
4)Simu anaitia pin number
ukimwambia nipe pin yako ugomvi
5)Simu inawekwa silence
anapokuwa nyumbani au kuzimwa
kabisa ili ikipigwa wewe usiisikie
6)Akiwepo kwenye computer
ukimfata tu mara ghafla
hubadilisha na kurukia kwengine
na hasa akiwa anachat husign out
haraka
7)Ana sim card zisizopunguwa
tatu na hizo ukimuuliza hujifanya
za biashara na mbali nyengine
ambazo wewe huzijui
8)Anaporudi kwa kimada huwa
mwenye furaha na mkarimu sana
kwako na hapo hata umwambie
nibebe mgongoni unipeleke
Mwembemakumbi kwa mguu
atakupeleka
9)Ukimuuliza kwanini umechelewa
kurudi au ukiulizia chochote
kwanini una sim card nyingi au
nipe pin ya simu anakuwa mkali
sana na ugomvi
10)Anapokuwa kwenye computer
au simu hukutupia jicho la
pembeni kama anakuchungulia
kumbe ana lake
11)Kwenye simu yake huwa
kasave majina tafauti mfano
Mayasa kaliweka Khamis au Boss
au Dude
12)Akisha kuchelewa kurudi
hujibabaisha na pengine hata
pete ya dhahabu utanunuliwa
ilimradi usahau kule kuchelewa
kwake
13)Huaga anaenda kazini kumbe
yupo off anaelekea kwa kimada
15)Mara nyingi simu yake haikai
messages zinafutwa na missed
call,received,Dialled zote hufutwa
16)Akilala simu huwa chini ya mto
au haichezi mbali
17)Anapotuma vimessage huwa na
wasiwasi huku anakuchungulia
hujidai kuzungumza na wewe
lakini maneno hayaelekei na
unachomzungumzisha kumbe akili
yake haipo iko kwenye kimada's
message
Nadhani zipo nyingi nyengine
hazikuoredheshwa nawe tupia zako na hata dalili za wanawake kuwa na jamaa mwengine!!