Dalili za meme kuwa na mwanamke mwengine nje!!

Dalili za meme kuwa na mwanamke mwengine nje!!

Pindima

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
347
Reaction score
82
Mjue mume aliyekuwa ana
mwanamke mwengine
1)Kuchelewa kurudi nyumbani
bila sababu za msingi
2)Overtime kazini zinazidi kumbe
hayuko kazini
3)Simu haikai chini mpaka chooni
pengine anaingia nayo
4)Simu anaitia pin number
ukimwambia nipe pin yako ugomvi
5)Simu inawekwa silence
anapokuwa nyumbani au kuzimwa
kabisa ili ikipigwa wewe usiisikie
6)Akiwepo kwenye computer
ukimfata tu mara ghafla
hubadilisha na kurukia kwengine
na hasa akiwa anachat husign out
haraka
7)Ana sim card zisizopunguwa
tatu na hizo ukimuuliza hujifanya
za biashara na mbali nyengine
ambazo wewe huzijui
8)Anaporudi kwa kimada huwa
mwenye furaha na mkarimu sana
kwako na hapo hata umwambie
nibebe mgongoni unipeleke
Mwembemakumbi kwa mguu
atakupeleka
9)Ukimuuliza kwanini umechelewa
kurudi au ukiulizia chochote
kwanini una sim card nyingi au
nipe pin ya simu anakuwa mkali
sana na ugomvi
10)Anapokuwa kwenye computer
au simu hukutupia jicho la
pembeni kama anakuchungulia
kumbe ana lake
11)Kwenye simu yake huwa
kasave majina tafauti mfano
Mayasa kaliweka Khamis au Boss
au Dude
12)Akisha kuchelewa kurudi
hujibabaisha na pengine hata
pete ya dhahabu utanunuliwa
ilimradi usahau kule kuchelewa
kwake
13)Huaga anaenda kazini kumbe
yupo off anaelekea kwa kimada
15)Mara nyingi simu yake haikai
messages zinafutwa na missed
call,received,Dialled zote hufutwa
16)Akilala simu huwa chini ya mto
au haichezi mbali
17)Anapotuma vimessage huwa na
wasiwasi huku anakuchungulia
hujidai kuzungumza na wewe
lakini maneno hayaelekei na
unachomzungumzisha kumbe akili
yake haipo iko kwenye kimada's
message
Nadhani zipo nyingi nyengine
hazikuoredheshwa nawe tupia zako na hata dalili za wanawake kuwa na jamaa mwengine!!
 
Anaweza asifanye hata moja ktk hilo na akawa nae au akawanao hawa viumbe waajabu sana mungu kawajalimbia mbinu,unaweza kuletewa mtoto wa miaka 10 na hujawahi kuona tofauti zozote...
 
Anaweza asifanye hata moja ktk hilo na akawa nae au akawanao hawa viumbe waajabu sana mungu kawajalimbia mbinu,unaweza kuletewa mtoto wa miaka 10 na hujawahi kuona tofauti zozote...

Yatakiwa uwe makini nae huenda hujawahi kumsoma vizuri!!
 
Mjue mume aliyekuwa ana
mwanamke mwengine
1)Kuchelewa kurudi nyumbani bila sababu za msingi-anaweza kuwahi pia baada ya kuyamaliza mchana kweupe
2)Overtime kazini zinazidi kumbe hayuko kazini-kwa wasio na kazi je?
3)Simu haikai chini mpaka chooni pengine anaingia nayo-kama anadaiwa na hataki ujue?
4)Simu anaitia pin number ukimwambia nipe pin yako ugomvi-wewe pin yako unampa?
5)Simu inawekwa silence anapokuwa nyumbani au kuzimwa kabisa ili ikipigwa wewe usiisikie-sasa kesharudi nyumbani wewe unataka apigiwe na nani?
6)Akiwepo kwenye computer ukimfata tu mara ghafla hubadilisha na kurukia kwengine na hasa akiwa anachat husign out
haraka- sidhani kama wengi wana uwezo na hili
7)Ana sim card zisizopunguwa tatu na hizo ukimuuliza hujifanya za biashara na mbali nyengine ambazo wewe huzijui - sio hoja
8)Anaporudi kwa kimada huwa mwenye furaha na mkarimu sana kwako na hapo hata umwambie nibebe mgongoni unipeleke Mwembemakumbi kwa mguu atakupeleka - haiwezekani, tapapata wapi nguvu ya kukbeba kama ametumika?
9)Ukimuuliza kwanini umechelewa kurudi au ukiulizia chochote kwanini una sim card nyingi au nipe pin ya simu anakuwa mkali sana na ugomvi- inategemea unamuulizaje
10)Anapokuwa kwenye computer au simu hukutupia jicho la pembeni kama anakuchungulia kumbe ana lake-kha!!
11)Kwenye simu yake huwa kasave majina tafauti mfano Mayasa kaliweka Khamis au Boss au Dude- kwa hiyo huwa unapekua phonebook sio?
12)Akisha kuchelewa kurudi hujibabaisha na pengine hata pete ya dhahabu utanunuliwa ilimradi usahau kule kuchelewa
kwake-hii mpya!
13)Huaga anaenda kazini kumbe yupo off anaelekea kwa kimada- wangapi wana kazi?
15)Mara nyingi simu yake haikai messages zinafutwa na missed call,received,Dialled zote hufutwa-unajuaje yote haya?
16)Akilala simu huwa chini ya mto au haichezi mbali- kwa sababu unaipekua sana
17)Anapotuma vimessage huwa na wasiwasi huku anakuchungulia hujidai kuzungumza na wewe lakini maneno hayaelekei na unachomzungumzisha kumbe akili yake haipo iko kwenye kimada's message Nadhani zipo nyingi nyengine
hazikuoredheshwa nawe tupia zako na hata dalili za wanawake kuwa na jamaa mwengine!!

Umjejitahidi....jaribu tena!!
 
Nadhani umewa-under estimate wanaume sana! Hata naweza nisichelewe nyumbani kwani lunch time inatosha kumaliza mchezo! Jioni nawahi zangu home! Saa nyingine naweza kumalizia mzigo ofisini, kwisha habari.
 
Mjue mume aliyekuwa ana
mwanamke mwengine
1)Kuchelewa kurudi nyumbani
bila sababu za msingi
2)Overtime kazini zinazidi kumbe
hayuko kazini
3)Simu haikai chini mpaka chooni
pengine anaingia nayo
4)Simu anaitia pin number
ukimwambia nipe pin yako ugomvi
5)Simu inawekwa silence
anapokuwa nyumbani au kuzimwa
kabisa ili ikipigwa wewe usiisikie
6)Akiwepo kwenye computer
ukimfata tu mara ghafla
hubadilisha na kurukia kwengine
na hasa akiwa anachat husign out
haraka
7)Ana sim card zisizopunguwa
tatu na hizo ukimuuliza hujifanya
za biashara na mbali nyengine
ambazo wewe huzijui
8)Anaporudi kwa kimada huwa
mwenye furaha na mkarimu sana
kwako na hapo hata umwambie
nibebe mgongoni unipeleke
Mwembemakumbi kwa mguu
atakupeleka
9)Ukimuuliza kwanini umechelewa
kurudi au ukiulizia chochote
kwanini una sim card nyingi au
nipe pin ya simu anakuwa mkali
sana na ugomvi
10)Anapokuwa kwenye computer
au simu hukutupia jicho la
pembeni kama anakuchungulia
kumbe ana lake
11)Kwenye simu yake huwa
kasave majina tafauti mfano
Mayasa kaliweka Khamis au Boss
au Dude
12)Akisha kuchelewa kurudi
hujibabaisha na pengine hata
pete ya dhahabu utanunuliwa
ilimradi usahau kule kuchelewa
kwake
13)Huaga anaenda kazini kumbe
yupo off anaelekea kwa kimada
15)Mara nyingi simu yake haikai
messages zinafutwa na missed
call,received,Dialled zote hufutwa
16)Akilala simu huwa chini ya mto
au haichezi mbali
17)Anapotuma vimessage huwa na
wasiwasi huku anakuchungulia
hujidai kuzungumza na wewe
lakini maneno hayaelekei na
unachomzungumzisha kumbe akili
yake haipo iko kwenye kimada's
message
Nadhani zipo nyingi nyengine
hazikuoredheshwa nawe tupia zako na hata dalili za wanawake kuwa na jamaa mwengine!!

nimecheka sana kuhusu hiyo red hapo! ataachaje kuwa na furaha wakati ametoka kutimiza haja zake?
kwa mtazamo wangu ukiona anafanya hayo ujue anae mwanamke lakini mwanamke mwenyewe ndio hao vinuka mkojo wasio elewa maana ya 'uhawara' hawara mstaarabu mnawekeana kabisa 'terms and conditions' za relationship yenu na akijua kuwa uko maeneo ya karibu na mke halali wala huwa hasumbui kwa simu wala nini! atuulize sie wazoefu hawara miaka kibao na hakuna kokoro kwa mke wa mume wote ndoa zinaendelea poa tu tena palipo na tatizo tunashirikishana na kurekebishana ili kuleta amani nyumbani kwa kila mmoja wetu
 
hivi meme ndo jina jipya la wanaume?
 
Kutokana na wanawake kuwa wengi kuliko wanaume vimada wamekuwa na adabu sana yaani ni wewe tu kumwabia usinipigie simu nikikuitaji nitakupigia mimi,
Tukikutana popote nikiwa na watu tujifanye hatujuani kabisa.
Na ikiwa ni siku ya faragha masaa 2 unafanya nini huko ndani?
Lisaa limoja tosha ujuzi naenda uonyesha nyumbani.
Sasa we mama utashtuka vip?
 
Bondpost unazumngumziaje hizo nyingine apart from kuchelewa?? Mi naona amejitahidi. Kwa kweli cheater utamjua kwa tabia yake ya wasiwasi hasa kuhusu simu na sms zinazoingia mkewe akiwa around. Kuna jamaa (mme wa rafiki yangu) yeye simu zake akiwa na mkewe outing anaziweka mezani zikiwa zimetazama chini zote na bado zina password. Ila ashukuru Mungu amepata mke mstaharabu; mi kwangu hakuna cha password wala simu kutazama chini na ni haki yangu kujua aliyekupigia simu Or else inabidi uchague simu (privacy) au mimi.

Nadhani umewa-under estimate wanaume sana! Hata naweza nisichelewe nyumbani kwani lunch time inatosha kumaliza mchezo! Jioni nawahi zangu home! Saa nyingine naweza kumalizia mzigo ofisini, kwisha habari.
 
Kama unampa wakati mgumu hivyo huyo the other woman; sidhani kama mkeo ana haja hata ya kuwa na mashaka na wewe. Tunachogombania ni kuibiwa penzi letu kama ni mihemko tu mtajiju na vimada wenu!

Kutokana na wanawake kuwa wengi kuliko wanaume vimada wamekuwa na adabu sana yaani ni wewe tu kumwabia usinipigie simu nikikuitaji nitakupigia mimi,
Tukikutana popote nikiwa na watu tujifanye hatujuani kabisa.
Na ikiwa ni siku ya faragha masaa 2 unafanya nini huko ndani?
Lisaa limoja tosha ujuzi naenda uonyesha nyumbani.
Sasa we mama utashtuka vip?
 
Kutokana na wanawake kuwa wengi kuliko wanaume vimada wamekuwa na adabu sana yaani ni wewe tu kumwabia usinipigie simu nikikuitaji nitakupigia mimi,
Tukikutana popote nikiwa na watu tujifanye hatujuani kabisa.
Na ikiwa ni siku ya faragha masaa 2 unafanya nini huko ndani?
Lisaa limoja tosha ujuzi naenda uonyesha nyumbani.
Sasa we mama utashtuka vip?
hao vimada wanakuwa wastaarabu mnapoanza, ukimkolea au akigundua unataka kumwacha hakuna ustaarabu tena................ hadi wife atatumiwa sms kuelezea uhusiano wenu.
 
uzi wako unaonesha kuwa uliloliandika linakuhusu na unataka kumaliza hasira zako humu kwa aanachokufanyia mwenza wako... na wanawake walio na wanaume wengine je?? hizi mada za gender issue mi huwa sionagi kama siko general kwakuwa watu wanatofautiana sana..anchofanya mumeo si anachofanya mume wa mwenzio na mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mwingine bila ya sababu, wanawake mnatakiwa mtafute chanzo cha tatizo na kulitatua na si kuwakandia wanaume ndo maana hao wanawake wengine wanatumia udhaifu wenu kuwachukulia wanaume zenu.
 
wanaume hawana formula hata kidogo. mf. kuna mwanaume 1 yeye anadai anampenda sana mkewe ila ajab ana kimada pemben. mke humwamini 100%. m-mme kampa condition kimada usipige mpk nikupigie km shda ni ya muhmu sana azima hela ntarudisha. meeting yao hufanyika mme akiwa safari tu. asiposafiri hakuna kuonana.kutokana na nature ya kaz za m-mme inamlazimu kusafiri mara 2 kwa mwez,hapo ndipo hukutana na kimada. marufuku kutumiana sms! kwa style hyo unadhan mke wa jamaa atamkamata lin mumewe akicheat? mpo hapo?
 
Na huyo umkamate wa nini. Shida wanazopeana na huyo kimada zinawatosha.

wanaume hawana formula hata kidogo. mf. kuna mwanaume 1 yeye anadai anampenda sana mkewe ila ajab ana kimada pemben. mke humwamini 100%. m-mme kampa condition kimada usipige mpk nikupigie km shda ni ya muhmu sana azima hela ntarudisha. meeting yao hufanyika mme akiwa safari tu. asiposafiri hakuna kuonana.kutokana na nature ya kaz za m-mme inamlazimu kusafiri mara 2 kwa mwez,hapo ndipo hukutana na kimada. marufuku kutumiana sms! kwa style hyo unadhan mke wa jamaa atamkamata lin mumewe akicheat? mpo hapo?
 
kuwa kimada nayo inahitaji uvumilivu.cm mpaka akupigie khaaa!ukimmiss??wa kwangu analaza cm yake kabatini.vp naibiwa nn??
 
Back
Top Bottom