Dalili za mke au mume aliyekuchoka

Dalili za mke au mume aliyekuchoka

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
17,202
Reaction score
28,732
Yaan kakuchoka au hajawahi kukupenda na aliingia kwenye ndoa akiwa na malengo yake
Mi naanza na;
1. Kosa dogo tu kakasirika au kudai talaka kabisa.
2.
3.
4.
5.
6.Nakuendelea....

Kupopolewa ruksa maana katika maisha lazima upokee hasi na chanya.
 
mke aliyekuchoka..
1-hata ukirudi usiku wa manane hakuulizi
2-ukipanda kitandan atageukia kushoto
3- atashinda mchana kutwa asikujulie hali
4-ukiwa haupo nyumban yeye kwake ni bora zaidi
 
Back
Top Bottom