Dalili za mke au mume aliyekuchoka

Dalili za mke au mume aliyekuchoka

Tayari ni historia yangu kwa haya maisha yangu
Sawa mkuu, lakin usibebe kinyongo au chuki yeyote kwa aliyekuumiza, maana maisha yenyewe mafupi tu haya ni vizuri kumwachia Mungu kila changamoto unayopitia maishani.
 
Mwanaume
1: hakushirikishi kwenye maamuzi ndani ya nyumba
2:mwanaume anavyompenda mkewe huwa na kiu ya kumfurahisha hivyo akikuchoka furaha utaipata kwa mkojani (vipindi vya runinga)
Mwanamke
1: Dharau na kejeli
2:Hawazi maendeleo ya pamoja kwenye familia ,uchuma ulete unazidi
3:Unyumba kupewa utafkiri unaomba kitambulisho cha NIDA,punani unapewa kwa mwaka mara moja
4:Hajali hali ya mume,kiuchumi na kihisia..kiuchumi -mke anachotaka mume asikose
 
Mulemulee
 
Ukiachilia maumivu bas umeruhusu mwanya wa kuzoewa tena... Mimi na ex ni sawa na Marioo na song lake....bora kufa
 
Mwanaume
1: hakushirikishi kwenye maamuzi ndani ya nyumba
2:mwanaume anavyompenda mkewe huwa na kiu ya kumfurahisha hivyo akikuchoka furaha utaipata kwa mkojani (vipindi vya runinga)
Mwanamke
1: Dharau na kejeli
2:Hawazi maendeleo ya pamoja kwenye familia ,uchuma ulete unazidi
3:Unyumba kupewa utafkiri unaomba kitambulisho cha NIDA,punani unapewa kwa mwaka mara moja
4:Hajali hali ya mume,kiuchumi na kihisia..kiuchumi -mke anachotaka mume asikose
Wanajenga kwao
 
Ukichokwa dah tabu sana yaani inakuwa kama mgonjwa asiyena radha mdomoni, ukimpa uji anataka chai, ukimpa chai anataka maji balaa.
2. Mwenza/mpenzi kupunguza ama kuacha kabisa kuhudumia kimahitaji mwenzie.
3. Kukulinganisha na kukutoa kasoro ambazo mwanzo kwake zilikuwa ni sawa.
Yaani mwanaume unanuka kwapa bora mbususu yangu nikampe mbwa/ yaani mwanamke gani hujui kupika ugali, unapika ugali mgumu kuliko maisha yangu.
#kasheshe
 
🤣🤣
 
Back
Top Bottom