Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya tuma salaam au chagua mji....
haisee ni balaaa, itabidi utupe na hints za mama mwenye nyumba anayerusha roho na house boy
haisee ni balaaa, itabidi utupe na hints za mama mwenye nyumba anayerusha roho na house boy
Would u marry :tonguez:??
Life is for the living!Nahisi imefika hatua ukiwa kwenye ndoa...priority namba one ni mume asitoke na mwanamke mwingine.....!!!
Ukiwa ofisni,kanisani,jikoni,kitandani mawazo yanazungukia kwenye possibility ya ana cheat, ana chitije na nani? kuna maisha kweli hapo?
Have fun people,life is too short to worry that much about men....!!
Siku hizi hamna ndoa, ni ndoano. Watu wanaishi kama wanaigiza vile. Sasa baba mwenye nyumba kwa kabinti ka kazi unafata nini?
Shukran mpendwa kwa kutujuza hayo naamin yatanisaidia sana nikiingia kwenye ndoa
Noted Clearly MichelleNahisi imefika hatua ukiwa kwenye ndoa...priority namba one ni mke asitoke na mwaname mwingine.....!!!
Ukiwa ofisni,kanisani,shambani,kitandani mawazo yanazungukia kwenye possibility ya ana cheat, ana chitije na nani? kuna maisha kweli hapo?
Have fun people,life is too short to worry that much about Women....!!
Mmeanza!
haya tuma salaam au chagua mji....
.
DALILI YA PILI
ukikuta ni taarifa ya habari ya Sky News,CCTV, CNN, BBC au Al Jazeera, ujue huyo mwongo tu, hana lolote.
.
Mwanampotevu salama lakini ? si afadhali sisi hatuna mpango wa kuajiri hausigeli.kazi ipo,
mmh maana huo mtiririko utadhani ni plan ya kumkamata osama,
kumbe ni kuzuia mume asicheat,
acheat tu kama anataka maana naona kama anapata shida zaidi ya kufaidi.