Dalili za mwanamke anaekupenda

Dalili za mwanamke anaekupenda

Nimekuwa nikijiuliza Sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda unamjua kwa ishara zapi?

Mimi ninayofahamu ni tabia ya kuwa na tabasamu unapokuwa nae, vipi kuhusu body language yake......?
money speaks louder than words, kwakifupi km huna kipatato ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,utakesha kupata mpenzi tafuta hela hao wapenzi watakuja wenywewe
 
Nimekuwa nikijiuliza Sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda unamjua kwa ishara zapi?

Mimi ninayofahamu ni tabia ya kuwa na tabasamu unapokuwa nae, vipi kuhusu body language yake......?
Ukitaka kuyafahamu hayo soma kitabu kinaitwa "One Thousan and One Nights" kimetafriwa na Sir Richard Burton.

Au japo tafsiri yake ya Kiswahili Alf Lela u lela.

Kama unaelewa Kiarabu, kisome chenyewe cha Kiarabu ndiyo kiduuchu utawaelewa wanawake kwa mbaaali.

Mshairi mmoja anasema "siku ukimuelewa mwanamke ndiyo siku yako ya kufa".
 
Back
Top Bottom