Dalili za mwanamke mshamba aliepitwa na wakati

gwangaeto

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
545
Reaction score
638
1. Ni mbea, hakuna skendo iliyowahi kumpita, yuko vizuri sana kufwatilia mambo yasiyomuhusu, huko atapoteza mda mwingi kufatilia mambo ya watu.

2. Ni mjinga, akitongozwa anasimulia, unaweza mpiga saund halafu kesho msela wako anakuuliza nasikia umemfwata flani kakutolea nje.

3. Anapoishi/kazini kama kuna wanaume wengi anajifanya rafiki wa kila mtu mwisho anageuka mama huruma bila kujijua.

4. Ana cofidence za kipumbavu, akiona watu hasa wanaume analewa, maneno yanakua mengi, coment za ajabu ajabu na kujichekesha chekesha bila sababu maalum.

5. Ni mwepesi kuzoea watu, anafikiri ndo u-fair kumbe ni ufala. Unaweza toka nae sehemu huko anajifanya anamjua kila mtu, kila kitu.

6. Kwa mwonekano ni mtu wa maana sana hasa uvaaji, lakini ndani mchafu, maneno machafu ni kinabo kweli kweli.

7. Huwa ni mropokaji sana, haogopi ata kama kuna wazee anaropoka maneno magumu magumu.

8. Anapenda kushushua ili tu aonekane yupo, hata kama ni jambo dogo la kueleweka lakini atakushushua ili watu wamwone yupo.

9. Hana staha anaweza kujivutavuta chupi, kujikuna makalioni mbele za watu.

10. Ana shobo kumshinda meena.

11. Hana misimamo hata kwenye mambo ya msingi, anaweza kuanza na wewe baadae akashawishiwa na mtu mwingine akaacha alafu baadae anarudi anajutia.

12. Hana aibu kabisa, akikosea haombi msamaha ila anajilengesha, lengesha makusudi ili uongee nae, hapo yuko tayari ata kutoa nyapu ili asamehewe.

13. Ana wivu wa kijinga sana, anapongeza huku anakung'ong'a, akikuacha mita tatu anakuteta.

14. Hana siri, anaweza kumsema mme/mpenzi wake kwa watu, ukitembea watu wanakujua hadi rangi ya pumb.u zako.
 
Duuuuh!!! Mambo hayo ni hatari.
Weka mbali na watoto
 
1. Ni mbea, hakuna skendo iliyowahi kumpita, yuko vizuri sana kufwatilia mambo yasiyomuhusu, huko atapoteza mda mwingi kufatilia mambo ya watu.

2. Ni mjinga, akitongozwa anasimulia, unaweza mpiga saund halafu kesho msela wako anakuuliza naskia umemfwata flani kakutolea nje

3. Anapoishi/kazini kama kuna wanaume wengi anajifanya rafiki wa kila mtu mwisho anageuka mama huruma bila kujijua.

4. Ana cofidence za kipumbavu, akiona watu hasa wanaume analewa, maneno yanakua mengiii, coment za ajabu ajabu na kujichekesha chekesha bila sababu maalum.

5. Ni mwepesi kuzoea watu, anafikiri ndo u-fair kumbe ni ufala. Unaweza toka nae sehem huko anajifanya anamjua kila mtu, kila kitu.

6. Kwa mwonekano ni mtu wa maana sana hasa uvaaji, lakini ndani mchafu, maneno machafu ni kinabo kweli kweli

7. Huwa ni mropokaji sana, haogopi ata kama kuna wazee anaropoka maneno magumu magumu.

8. Anapenda kushushua ili tu aonekane yupo, hata kama ni jambo dogo la kueleweka lakini atakushushua ili watu wamwone yupo.

9. Hana staha anaweza kujivutavuta chupi, kujikuna makalioni mbele za watu.

10. Ana shobo kumshinda meena.

11. Hana misimamo hata kwenye mambo ya msingi, anaweza kuanza na wewe baadae akashawishiwa na mtu mwingine akaacha afu baadae anarudi anajutia.

12. Hana aibu kabisaa, akikosea haombi msamaha ila anajilengesha, lengesha makusudi ili uongee nae, hapo yuko tayari ata kutoa nyapu ili asamehewe.

13. Ana wivu wa kijinga sana, anapongeza huku anakung'ong'a, akikuacha mita tatu anakuteta.

14. Hana siri, anaweza kumsema mme/mpenzi wake kwa watu, ukitembea watu wanakujua hadi rangi ya pumbu zako...

NYAMBAAAAAF
Mkuu huyo Meena ndio nani?
 
Dah....siyo bure....ngoja waje bana[emoji87] [emoji13] [emoji41]
 
Ulieandika hujafikiri umechanganya mada za ushamba na upumbavu na za werevu kama sisi
 
Umesahau ya kwamba wanapenda sana wakiwa na mtoko mkuttane pale darajani manzese au stendi ya mabasi ya mkoa Ubungo. Ukimpeleka daraja la kigamboni ni kama umempeleka shopping Paris.
 
Back
Top Bottom