Dalili za mwanamke mshamba aliepitwa na wakati

Dalili za mwanamke mshamba aliepitwa na wakati

mbona hasira hivyo
ulitaka kuoa
au ni mke amekuzidi elimu?
au mkeo ni shaniki wa chama fulani au klabu ya mpira pinzani?
 
1. Ni mbea, hakuna skendo iliyowahi kumpita, yuko vizuri sana kufwatilia mambo yasiyomuhusu, huko atapoteza mda mwingi kufatilia mambo ya watu.

2. Ni mjinga, akitongozwa anasimulia, unaweza mpiga saund halafu kesho msela wako anakuuliza nasikia umemfwata flani kakutolea nje.

3. Anapoishi/kazini kama kuna wanaume wengi anajifanya rafiki wa kila mtu mwisho anageuka mama huruma bila kujijua.

4. Ana cofidence za kipumbavu, akiona watu hasa wanaume analewa, maneno yanakua mengi, coment za ajabu ajabu na kujichekesha chekesha bila sababu maalum.

5. Ni mwepesi kuzoea watu, anafikiri ndo u-fair kumbe ni ufala. Unaweza toka nae sehemu huko anajifanya anamjua kila mtu, kila kitu.

6. Kwa mwonekano ni mtu wa maana sana hasa uvaaji, lakini ndani mchafu, maneno machafu ni kinabo kweli kweli.

7. Huwa ni mropokaji sana, haogopi ata kama kuna wazee anaropoka maneno magumu magumu.

8. Anapenda kushushua ili tu aonekane yupo, hata kama ni jambo dogo la kueleweka lakini atakushushua ili watu wamwone yupo.

9. Hana staha anaweza kujivutavuta chupi, kujikuna makalioni mbele za watu.

10. Ana shobo kumshinda meena.

11. Hana misimamo hata kwenye mambo ya msingi, anaweza kuanza na wewe baadae akashawishiwa na mtu mwingine akaacha alafu baadae anarudi anajutia.

12. Hana aibu kabisa, akikosea haombi msamaha ila anajilengesha, lengesha makusudi ili uongee nae, hapo yuko tayari ata kutoa nyapu ili asamehewe.

13. Ana wivu wa kijinga sana, anapongeza huku anakung'ong'a, akikuacha mita tatu anakuteta.

14. Hana siri, anaweza kumsema mme/mpenzi wake kwa watu, ukitembea watu wanakujua hadi rangi ya pumb.u zako.
Hahaha
 
Back
Top Bottom