Dalili za mwanaume shoga

Dalili za mwanaume shoga

Zifuatazo ni dalili za mwanaume shoga.

1.Anapenda kuvaa heleni
2.Anapenda kujichubua


Ukijiona unapenda moja au mawili hapo juu jua unakoilekea ni ushogani.



Sent using Jamii Forums mobile app
Pia anapenda mambo ya kike,,KUSUTANA,,,tabia za KUMBEA,,,AKITEMBEA ANAJIBINUWA,,AKIONGEA ANABANA SAUTI....hata awe na SURA NGUMU vipi,, kama ana viashiria hivyo ni SHOGA straight

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na yule anayevaa vikuku.
(napenda kuku lkn bata ukimpatia ananoga ile mbaya)
 
1,Pia anapenda kujiangalia makalio yake kwenye kiooo,

2, kupenda kusikiliza taarab

3.......
 
Tunakutana nao tatizo namna ya kumtongoza inakuwa ngumu. Tupe mbinu za kuwaingia ili waliwe!
 
Zifuatazo ni dalili za mwanaume shoga.

1.Anapenda kuvaa heleni
2.Anapenda kujichubua


Ukijiona unapenda moja au mawili hapo juu jua unakoilekea ni ushogani.



Sent using Jamii Forums mobile app
hizo dalili zina ukweli fulani

eti mwanaume uko bze kwenye vipodozi kutafuta mafuta ya kukung'arisha...hainingii akilini
 
Leo nimekutana Na kali ya mwaka..nimelutana Na mwanaume akirembwa kwenye saloon y kike...waliponiona wakanambia Kuna kazi maalum wanafanya...nimeshtuka
 
Raynavero kweli aisee wapo mashoga hawana hizo mambo za kujichubua, sijui kuvaa hereni hawajui, wanavaa kawaida tu, ikiwa ni mara yako ya kwanza kuwaona utawagundua kwa jinsi wanavyotembea kwa mitego wamebinua makalio juu wakirusharusha mikono pembeni, au wakati wa kuongea huwa wanabana sana sauti. Yupo mmoja karibu sana na eneo ninaloishi, siku ya kwanza kumuona nilimshangaa sana nikajua huyu atakuwa ndio walewale.
 
Back
Top Bottom