Dalili za simu feki

Dalili za simu feki

Goodluck TZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
1,448
Reaction score
661
1: Ukikaa karibu na jiko-charge connected
2: ukipia karibu na nguzo za umeme-power bank connected
3: ukipishana na mchina-new device as connected
kama una yako ongeza alafu bonyeza==> mchika.mywapblog.com
 
4. Ukichomoa charge kwenye fused simu bado inasoma inaingia charge
 
Pia mwezi wa sita zinafunguwa
 
Ukiiweka charge basda ya dakika 10 inaandika full charged, hata kama ilikuwa battery empty.
 
Pia mwezi wa sita zinafunguwa
 
ukimpigia mtu wa mbali, let's say we upo mbeya unampigia mtu wa dar inaandika please come closer
 
Hahahaaaa...huu uzi ni shida..hiyo ya mchina ndio funga kazi
 
Kila anae kupigia simu anakwambia nimekuta missed call yako wakati wewe hukupiga na hata kwenye dial records hamna kitu
 
ukianza kuweka vocha hivi *104* inaandika please wait masaa sita hadi uchomoe betri
 
Mchina original.
YNWA
 

Attachments

  • 1463706383733.jpg
    1463706383733.jpg
    53.9 KB · Views: 47
Back
Top Bottom