Dalili za ubingwa kwa Yanga katika Ligi Kuu Bara 2021/22 hizi hapa

Dalili za ubingwa kwa Yanga katika Ligi Kuu Bara 2021/22 hizi hapa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mpaka leo Jumatano Machi 16, 2022 katika mzunguko wa 17 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC PL 2021/22), kikosi cha Yanga kimeongoza kwenye takwimu muhimu nne.

● Magoli ya kufunga – 29

● Magoli ya kufungwa – 4

● Assists – 21

● Cleansheets – 13

Je, unadhani hizi ni dalili tosha za ubingwa kwa Yanga msimu huu?

Bara.jpg
 
Mechi ya Yanga na KMC sio leo. Ni tar 19 March
Gemu bado mbichi wewe!!..kwanza leo KMC anawatoa bikra ya kutofungwa bila ganzi[emoji847][emoji847][emoji847]

Rudi kwenye hii post yangu baada ya mechi.
 
Umeongea vitu vya maana ila subiri matikiti maji ya Mwamedi yaje
 
Gemu bado mbichi wewe!!..kwanza leo KMC anawatoa bikra ya kutofungwa bila ganzi[emoji847][emoji847][emoji847]

Rudi kwenye hii post yangu baada ya mechi.
Kweli we Ni Kolo tena Zobah, sijui unaishi Dunia ipi.. Pole sana,,, tunakuaribisha Tar 19 uje kuona burudani kwa mkapa
 
Back
Top Bottom